Neno la Shukrani

Neno la Shukrani

Pole once again mtani..Mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki.
 
Pole sana kiongozi.. ni kweli mama yetu amevaa mwili wa kiroho na kuishindani mitihani.. Alale pema
 
Mwenyezi Mungu mjuuzi wa yote akushike na kukupa faraja kila ukumbukapo mazuri ya mama yetu. Uwe na Pasaka njema ndugu Mshana.
 
Kazi ya Mungu haijawahi kuwa na Makosa. Ametoa. Ametwaa. Hakika njia yetu ni moja.
 
Mwenyezi Mungu aendelee kukutia nguvu kwny kpnd hiki kigumu ulichokuwa nacho [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr
 
Raha ya Milele u-mpe eeee Bwana,, na Mwanga wa milele umwangazie,, apumzike kwa amani x 3

AMINA!!
 
Mkuu nini kimekupata aiseeee?? Tuko kwenye majonzi wewe unatukana matusi mazito hivyo?
Nimeumia mno kamtukana mtu mmoja mstaarabu hasa na ninayefahamiana naye
 
Nimekua nje kiasi sielewi kinaendelea nini ..pole sana Ndugu Mshanajr ..Mungu ailaze mahali pema Roho ya Marehemu.
 
Back
Top Bottom