Makonda: Ukiona tumekuita ujue tumekusoma miaka kumi iliyopita

Miaka kumi umemstudy mtu hujui jina lake linaitwaje? Anawataja watu kwa jina moja, wengine kwa a.k.a zao. Huyu jamaa dah ni dharau kubwa sana kwa mamlaka aliyokabidhiwa.
Eti hata radha ya chocolate anayoipenda tunaijua.., anajifanya DEA agent au conspiracy theorist.
 
Gwajima amesema walimpima hawakukuta alama (trace) yoyote. Walipokosa wakataka kumwekea kesi ya kutakatisha fedha. Wakapitia accounts zake zote za benki hawakukuta mahali ilipoingia hela ambayo chanzo hakijulikana. Kwa vile wamemwachia, basi ni kwamba ushahidi ha
 
Miaka kumi una msoma mtu unakuja na nick names eti BABU WA KITAA!!!Na MAKOMEO?!!!
 
Kinachomponza huyu bwana ni kupigiwa salute na watu wazima.
Ha ha haa, kikawaida mdogo akipewa heshima kubwa na mkubwa Basi Mdogo hujisikia vibaya ila huikubali heshima ile kwakua tu ni wajibu na yupo kazini.

Kwa ndugu zangu Konda na Gambo wao hawaoni haya na badala yake hufrahia na kutamani hata wangepigiwa magoti.
 
Miaka kumi umemstudy mtu hujui jina lake linaitwaje? Anawataja watu kwa jina moja, wengine kwa a.k.a zao. Huyu jamaa dah ni dharau kubwa sana kwa mamlaka aliyokabidhiwa.
Eti hata radha ya chocolate anayoipenda tunaijua.., anajifanya DEA agent au conspiracy theorist.
Miaka kumi kwa research kibongo bongo sijui huenda watafiti wa kilimo. Lakini tunampongeza kwa kuanzisha mapambano maboresho yameanza na yataendelea hadi kazi matokeo yataonekana na jina la Makonda litaendelea kukumbukwa daima.
 
Gwajima amesema walimpima hawakukuta alama (trace) yoyote. Walipokosa wakataka kumwekea kesi ya kutakatisha fedha. Wakapitia accounts zake zote za benki hawakukuta mahali ilipoingia hela ambayo chanzo hakijulikana. Kwa vile wamemwachia, basi ni kwamba ushahidi ha
A.k.a amegonga mwamba
 
Anazungumza Kama RC sio Kama Paulo.
Miaka 10 iliyopita Ofisi ya RC ilikuwepo
 
Back
Top Bottom