Pombe siyo chai kuna siku nlkuwa npo nduki kinoma apo nmeshatupia nusu kreti la Safari ile naingia sitting room tu nikakutana na macho ya bimkubwa nikampa shikamoo ya ghafla, nilivyokaa kwenye kiti nikamwamkia tena yani apo nlikuwa nmejisahau kama nmemwamkia, nmeenda toi kuludi nikamwamkia tena yani iyo siku nilimwamkia zaidi ya mara mia. Kweli pombe siyo chai.