kipusi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 443
- 74
Peter Msigwa live now mada 'wajibu wa mpiga kura baada ya uchaguzi'.
Leo katika kipindi cha mada moto kimeisha kabla ya wakati wake kwani kilitakiwa kiishe saa 5 kamili usiku badala yake kikaisha 4:56 usiku.
Na hii imetokana na maneno aliyokuwa anaongea mheshimiwa Msigwa juu ya maadili ya viongozi wetu ambayo yalikuwa mwiba kwa serikali hivyo mwandishi kwa hofu yake kaamua kumaliza kipindi kabla ya muda wake.