Kweli Tosa Hill inatukumbusha mbali sana!!!!!!!!! Lakini hizo picha ni baada ya Muungano kuwa Mandela, pia assembly ilikuwa ikifanyika next to the Basket ball ground tofauti na ilivyo ktk picha ambapo ni mbele ya ofisi za waalimu. Na enzi zetu sisi wengine, Muungano ilikuwa roofed kwa tiles...
Sikubaliani na hoja hii hata kidogo!!!!!!!!!
PCCB hawatakiwi kufanya makosa katika kazi yao kisha wananchi tukubali. Vinginevyo ni bora ifutwe tubakie na jeshi la polisi kufanya kazi zao.
Haiwezekani suala lililochunguzwa na PCCB lionekana shwari halafu chombo kingine kikagundua makosa!!!!! Then...
Yamekupata yepi tena GT.
Jenga hoja kwa umakini tu, tutaelewa.
Hakuna sababu ya kumshambulia mtu binafsi kwa kiwango hicho.
Endapo hukubaliani na hoja yake basi elezea kwa hoja zilizo na nguvu zaidi kudhihirisha ubora wa hoja zako na siyo kutumia lugha zisizokubalika ktk JF na pengine popote...
Kulingana na suala lenyewe lilivyokuwa, Hosea alitakiwa ajiuzulu au PCCB ivunjwe. Kwa taasisi nyeti kama PCCB kufanya kosa kubwa la kiufundi katika kiwango kile ni jambo lisilokubalika kabisa.
Lisipofanyika moja kati ya hayo basi hata kujiuzulu kwa Lowasa hakukuwa na maana kubwa na itaonekana...
Huu ni udhalimu!!!!!!!!!!
Tena mbaya kuliko hata wa wale wanaoshitakiwa kwa uhalifu wa kivita.
Hapa nadhani ni bora tume iundwe kuchunguza suala hili. Na raisi atamke bayana kama kweli ameidhinisha kodi kubwa kama ya nyumba za Hollywood.
Vinginevyo hata hii vita dhidi ya ufisadi haina maana!!!
Hizi habari sidhani kama ni za kweli.
Kama idadi ingekuwa kwa kiwango hicho tungejua tu. Hawa "The Sun", labda watueleze wamepata wapi data hizi za kupotosha.
Ni kweli tunahitaji kuwa na uthibitisho kabla ya kutamka bayana iwapo kuna wizi katika kura au la.
Mazingira yenyewe yanaashiria au kutoa mwanya wa wananchi kufikiria kuwa upo uwezekano wa kura kuibwa!!!!!!!
Mathalani katika uchaguzi wa jimbo la Busanda idadi ya waliojiandikisha kupiga kura ni...
Vyovyote vile itakavyokuwa, MUUNGANO ni lazima tuulinde.
La msingi tu hapa ni kujadiliana kwa makini jinsi ya kuuboresha. Tena hili lisifanyike kwa jazba wala pupa.
Ukitaka kujua ubaya wa kuvunjika muungano iangalie USSR, ilipokuwa wakati huo na ilipo sasa.
Tusidanganyike kwa namna yoyote ile...
Mjadala huu unakuwa si mzuri tena kwasababu, watu wengine wanaanza kuvunja hata kanuni za uchangiaji katika JF kama kushambuliana kwa lugha zisizopendeza na jazba nyingi.
Ni vema tuchangie tukiwa na nguvu ya hoja na si hoja ya nguvu.
Wengi hawaelewi kazi na mipaka ya mahakama ya kadhi kiasi...
Ni vizuri hoja inapoletwa kwa ajili ya kujadiliwa iwe katika namna ambayo kila kitu kiko bayana. Si busara kulazimisha watu watoe maoni kwa kufuata mtazamo wa mtu binafsi vile ambavyo suala linamgusa.
Ingependeza sana iwapo mtoa mada angetuletea hiyo MOU tuione ilivyo ndipo tutoe maoni yetu...
Hapa sasa ndiyo tuone JK anavyoweza kuwa na maamuzi sahihi.
Kwa maana mabomu ya Mbagala, hakuna aliyewajibika LAKINI hili la Nyamongo hatutakubali ubabaishaji.
Serikali lazima ifanye jambo linaloonekana na si siasa tupu.
Barrick wanatamba kuwa wao ni mabingwa katika mambo ya usalama na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.