North Mara: Kashfa ya maji ya sumu toka mgodini!

North Mara: Kashfa ya maji ya sumu toka mgodini!

Sasa hawa jamaa wakati mwingine ndio wanachangia katika kampeni za CCM kama ile kampuni ya AFGEM kule Arusha
 
Buswelu so hiyo list yako hapo juu inathamani kuliko maisha ya hao maskini wa kitanzania?? No wonder hata viongozi wanaona si kazi yao kulinda maisha ya watanzania bali makampuni ya kigeni?

Jamani nani kakwambia wanaendelea kufa mbona kama wafanya hilo ni jambo endelevu?Unafikiri na hao barrick na serikari bado wamekaa tu hawafanyi lolote uko?

Wanajua kuwa ni tatizo so they might be working on it...i hope hata carpet litakuwa limeshakuwa replaced..kama chanzo cha issue nzima
 
Hapa sasa ndiyo tuone JK anavyoweza kuwa na maamuzi sahihi.
Kwa maana mabomu ya Mbagala, hakuna aliyewajibika LAKINI hili la Nyamongo hatutakubali ubabaishaji.
Serikali lazima ifanye jambo linaloonekana na si siasa tupu.
Barrick wanatamba kuwa wao ni mabingwa katika mambo ya usalama na kuwa wanajali sana maisha na afya za binadamu hapa watueleze walichokificha muda wote huo na kulipa fidia.
 
1700 Employee utawaajiri wewe? wanao toa PAYE ya wastani wa 370,000 kila mmoja kwa mwezi hiyo kodi utalipa wewe....?Utaichimba wewe hiyo dhahabu?Utatoa mrahaba kwa wilaya ya tarime?Wasome wanafunzi 1500 kila mwaka?

Au baada ya kufunga utasema kuwa tanzania imeshidwa kuwapatia ajira wananchi wake...fikiri kabla kujaza post tu humu ndani?

Mwadishi kaingiza siku hapo wewe je?

Buswelu angalia sana kauli yako. Usalama na afya za wananchi ni muhimu kuliko kingine chochote , USIJIDANGANYE.
Usiwe mbinafsi.
 
Hapa sasa ndiyo tuone JK anavyoweza kuwa na maamuzi sahihi.
Kwa maana mabomu ya Mbagala, hakuna aliyewajibika LAKINI hili la Nyamongo hatutakubali ubabaishaji.
Serikali lazima ifanye jambo linaloonekana na si siasa tupu.
Barrick wanatamba kuwa wao ni mabingwa katika mambo ya usalama na kuwa wanajali sana maisha na afya za binadamu hapa watueleze walichokificha muda wote huo na kulipa fidia.

Mkuu unaongea kama wewe ndio mwenye maamuzi ya mwisho..ni sawa na kumuua ng'ombe wa maziwa...utapata wapi maziwa.
 
1700 Employee utawaajiri wewe? wanao toa PAYE ya wastani wa 370,000 kila mmoja kwa mwezi hiyo kodi utalipa wewe....?Utaichimba wewe hiyo dhahabu?Utatoa mrahaba kwa wilaya ya tarime?Wasome wanafunzi 1500 kila mwaka?

Au baada ya kufunga utasema kuwa tanzania imeshidwa kuwapatia ajira wananchi wake...fikiri kabla kujaza post tu humu ndani?

Mwadishi kaingiza siku hapo wewe je?

Buswelu, acha kulinganisha maisha ya binadamu wenzio kama ya sisimizi,
-kwani kabla hao barriki hawajaja, watu walikuwa hawiaishi?
-Watoto walikuwa hawaendi shule?
-Dhahabu ilikuwa inaoza huko ardhini?

Kama kuchimba dhahabu na kuambulia hivyo vi faida uchwara, kwa garama ya uhai wa wananchi masikini wanao porwa urithi wao, ni bora waondoke, watuache na umasikini wetu na dhahabu yetu.

Ni afadhali wachoji walikuwa wanachimba kidogo kidogo na kuendesha maisha yao kuliko ilivo sasa dhahabu yote inahamishwa wanabakishiwa mashimo, na kibaya zaidi wanauliwa?

comeon man, be serious!
 
Rwagubiri I am seriuos am just think different with others.Barrick have been there since 2004 when they took over from placer Dome.

When they took over everything was arleady paid by placer from the start.But due to liitle knowladge of understanding compasation,mining industry and Chemical Awarenenes from couples of us we think barrick are responsible for everything.And they dont care what village around mining.
Some of the things are beyond barrick capacity in tanzania.
 
Jamani Mimi Mwenzenu nimetishika sana nilipoona kwenye TV watu walioadhiriwa na Kemikali huko Northmara.Kwa kweli inatia huruma binadamu wenzetu wanapopata tabu na kufa kiasi hicho bila hatua za haraka za kuwanusuru.Hata madini yangekuwa na dhamani gani si sawa na uhai wa binadamu.Jamani Serikali yetu mchukue hatua za haraka kuwanusuru watu hawa wanaoteseka.Waliotiririsha Kemikali wachukuliwe hatua na wawalipe fidia waliadhirika na Kemikali.Sijui wenzangu wana JF mnaonaje hili!!!!!!
 
Hatua ilishachukuliwa na Spika wa bunge kwa komfokea na kmfukuza Mh Cheo nje ya bunge kwa kutaka kupata ufafanuzi wa kina juu ya hilo jambo.
 
Wiki iliyopita Mwansheria Tundu Lissu alikuwa kwennye kipinda cha Channel Ten on Maonda na wazee wa huku kwenye hivyo vijiji. Ukiwaangalia pamoja na baadhi ya picha walizokuwa wanaonyesha za huko kwenye hivyo vijiji machozi yanakutoka kwani wameadhirika sana na kemikali hizo.

Serikali pls do something
 
Mods unganisheni hizi zote...thread na ile ya mwanakijiji tuwe tunachaningia pamoja...
Nmara,Nmara,Nmara,ohhhhhhhh
 
Tunataka Waziri anahusika kujiuzulu haraka sana sana kama Jk awezi kumtoa Mwananchi tutafanya maandamano makubwa sana
 
Rwagubiri I am seriuos am just think different with others.Barrick have been there since 2004 when they took over from placer Dome.

When they took over everything was arleady paid by placer from the start.But due to liitle knowladge of understanding compasation,mining industry and Chemical Awarenenes from couples of us we think barrick are responsible for everything.And they dont care what village around mining.
Some of the things are beyond barrick capacity in tanzania.

duh! Ishu ni kwamba wamedanganya serikali na imeumiza wananchi. Kazi ya serikali ni kulinda wananchi. Wapelekwe mahakamani na walipe fidia...kila senti. Ikiwezekana wafilisiwe. Tunakuwa kama jalala, kazi kuleta kampuni zilizooza kufanya kazi Tanzania. HATUTAKI!
Alafu...Wewe ukinunua gari bovu alafu ukaenda kugonga mtu utasema kosa sio lako? U do indeed think differently from others!
 
Hatutaki kuja kutuzuga tena na tume mara timu ya kuchunguza wakati wakina mama wetu wanakufa ovyo, Mimeo hata mifugo na wanyama kibao, Waziri ajiuzuru tu
 
Duh! Hivi Buswelu ni mtanzania mwenzetu au mmojawapo wa wamiliki wa huo mgodi make simuelewi.
 
Huyu Buswelu ni limbukeni sana asiye na upeo wa kuona picha kubwa . Tumuogope sana ni adui wa haki na usawa na mazingira katika nchi yetu. Tutie presha Waziri muhusika ajiuzulu mapema na Spika aombe msamaha kwa kutimia ubabe wake usio na tija katika bunge tukufu kumfukuza Mb Cheyo aliyekuwa anauliza swali juu ya jambo hili muhimu sana. Barrick Gold wapewa adhabu kali iwe fundisho na ikiwezekana wafukuzwe nchini waje kampuni nyingine inayoheshimu mazingira na uhai wa wananchi bila kuweka tamaa mbele.
 
Buswelu kumbuka hii nchi ni yetu na tunatakiwa kuilinda kwa nguvu zetu zote,wewe unaona raha mali zetu zinavoporwa nawajanja huku sisi tukiachwa tukila nyasi mmh,wewe wale wazee wamebabuka ngozi zile ni hatua za mwanzo za kansa ya ngozi na watoto matumbo yamewatoka unadhani ni mchezo si ni hali mbaya sana hiyo

kama wewe ni sehemu ya makaburu na wazungu wa Canada kajiunge nao pole pole usituletee kichefuchefu kwa kufurahia kwako mateso ya wanachi wasio na hatia
 
1700 Employee utawaajiri wewe? wanao toa PAYE ya wastani wa 370,000 kila mmoja kwa mwezi hiyo kodi utalipa wewe....?Utaichimba wewe hiyo dhahabu?Utatoa mrahaba kwa wilaya ya tarime?Wasome wanafunzi 1500 kila mwaka?

Au baada ya kufunga utasema kuwa tanzania imeshidwa kuwapatia ajira wananchi wake...fikiri kabla kujaza post tu humu ndani?

Mwadishi kaingiza siku hapo wewe je?

Haya mawazo ni mufilisi. Yaani kati ya mwenye dhahabu na mwenye koleo wewe umeona mwenye koleo ndiye mwenye mali zaidi.

Dhahabu on the long term haishuki thamani, mwenye dhahabu anaweza kupanga terms, sema viongozi wetu timid na wana mawazo mgando kama hayo ya juu, kuogopa viajira vya Watanzania wachache kutamaliza wilaya nzima huko North Mara.
 
Back
Top Bottom