OFISI YA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI
MHE. ABOOD AUDHULIA VIKAO MAALUM NA MUHIMU VYA MAENDELEO YA WANANCHI
[emoji3502] RCC (REGIONAL CONSTRUCTIVE COMMITEE)
Hiki ni Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa ambacho ukaliwa mara moja kwa mwaka kujadili maendeleo ya Wananchi kupitia utekelezaji wa...
MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Mjini,Dkt. Abdulaziz Abood amefanya ziara ya kushutukiza kwenye Kata ya Mazimbu kwa lengo la kujionea athari ya mvua katika miundombinu ya barabara zilizopo katika Kata hiyo.
Mhe. Mbunge ameshuhudia namna miundombinu ya barabara hizo zilivyoathiriwa hasa kipande cha...
NEEMA YA MAJI KATA YA MAGADU
Wananchi wa mitaa ya Kidondolo, Forkolend na Kididimo Kata ya Magadu kwa nyakati tofauti tofauti wameongea na kuishukuru Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais. Samia S. Hassan kwa namna ambavyo imesikia kilio chao cha muda mrefu kuhusu maji. Akionge...
OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MOROGORO MJINI.
NEEMA KATA YA MAGADU.
MHE. ABOOD AHAIDI TSH. MIL. 15,000,000/- ZAHANATI KATA MAGADU
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz. M.Abood leo tarehe 13.01.2024 ameshiriki Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Magadu akiwa ndiye Mgeni Rasmi...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mhe. Dkt. Abdulaziz M. Abood amefanya ziara kwenye Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro iliyopo kwenye jimbo lake.
Mhe Mbunge amefika hospitalini hapo na kutembelea sehemu mbalimbali ili kuona utendaji kazi wa watoa huduma wa Hospital ya Rufaa ya mkoa wa...
MHE. ABDULAZIZ M. ABOOD (MB) ATAFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA MOROGORO.
Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini anataraji kufanya Ziara tarehe 29.12.2023 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Akiwa Hospitalini hapo Mhe. Mbunge atafanya yafuatayo:-
1). Kutembelea...
30/11/2023
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Dkt. Abdul Aziz M. Abood anaendelea na ziara yake ya Kikazi kwenye Kata ya MAFIGA na Kata ya MBUYUNI.
Huu ni mwendelezo wa ziara yake inayopia mtaa kwa mtaa lengo la ziara hii ni kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi.
Kila Kata na...
29/11/2023
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Dkt. Abdul Aziz M. Abood ameendelea na ziara yake ya kikazi kwenye Kata ya KINGO, MAFIGA, MWEMBESONGO, MJI MPYA NA MAFISA.
Huu ni mwendeleze wa ziara yake inayopita mtaa kwa mtaa lengo ikiwa ni kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea majibu na...
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdul Aziz M. Abood 28/11/2023 amefanya ziara ya kikazi kwenye Kata ya U/TAIFA NA K/NDEGE.
Lengo ya ziara hii Mhe Mbunge kwanza ni kusikiliza kero za wananchi kwenye mitaa ya Kata hizo, pili ni kutatua na kutoa majibu pamoja na kuwaambia wananchi wa Kata...
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ALAANI VIKALI UKATILI ULIOFANYWA DHIDI YA MAMA MJASILIAMALI.
Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini mapema hii leo amefika wodini Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro alipolazwa Mama Bi Aziza Juma Mjasiliamali ndogondogo mara baada ya...
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mhe Abdulaziz Mohammed Abood amekabidhi HUNDI ya Tsh Milioni moja (1,000,000) kwa umoja wa wanawake wa kanisa la Roman Catholic (RC) la Mt.Patrick lililoko Morogoro mjini kwaajili ya kusapoti mradi wa wanawake hao ambapo Mhe Abood alikuwa mgeni rasimi
29/10/2023
MbungeABOOD AZINDUA KIKUNDI CHA WANAWAKE WAJANE KATA YA MKUNDI SAMBAMBA NA KUSHIRIKI IBADA YA MISA STESHENI SDA CHURCH-KATA YA KINGOLWIRA TAREHE 28.10.2023.
UZINDUZI WA CHAMA CHA WANAWAKE WAJANE KATA YA MKUNDI
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz M.Abood amezindua Rasmi Chama cha...
Mapokezi ya Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mhe Abdulaziz M Abood wakati wa uzinduzi wa chama cha wanawake Wajane kata ya mkundi ambapo Mhe mbunge ndo mgeni rasimi wa shughuri hiyo
MHE. ABOOD AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA YA CHAMWINO MTAA WA MAELEWANO ENEO LA POMBE SHOP .
Mnamo Majira ya saa kumi tarehe 24.10.2023, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz M. Abood amefika katika Kata ya Chamwino Mtaa wa Maelewano baada ya wito wa Wananchi takribani 70 kwa minajri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.