Morogoro Mjini

Oct 8, 2023
37
17
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mhe Abdulaziz Mohammed Abood amekabidhi HUNDI ya Tsh Milioni moja (1,000,000) kwa umoja wa wanawake wa kanisa la Roman Catholic (RC) la Mt.Patrick lililoko Morogoro mjini kwaajili ya kusapoti mradi wa wanawake hao ambapo Mhe Abood alikuwa mgeni rasimi

29/10/2023
IMG-20231029-WA0960.jpg
 
Naona joto la uchaguzi limeshaanza kupanda. Kila mbunge sasa hivi hatulii. Siyo wa Jimbo, Vitu maalum, au wa kuteuliwa!

Wote ni kuhangaika tu mtaani, huku wakigawa hela na vitu mbalimbali! na lengo kuu likiwa uchaguzi wa 2025.
 
Abood linapokuja suala la uchaguzi huwa anamwaga hela sio aka kamilioni aka atakuwa kawapa tu msaada kweli, nilishuhudia akimwaga noti kwenye chaguzi za jumuia za ccm Morogoro ni hatari na nusu kwakweli!!
 
Yaani jamaa badala ya kugharamia matibabu anagharamia mazishi !
Pumbafu; kesho utahoji kwanini hagharamii mboga na ugali kwa wapigakura wake.

Matibabu ni jukumu la serikali kwa wananchi wake wanaolipa kodi kuiendesha serikali.

Awamu ya Nyerere uchumi ukiwa chini sana, hakuna mwananchi aliyedaiwa mchango wa matibabu hata kama alipewa rufaa kutibiwa Ulaya.

Miujiza gani iliyotumika? Kupanga ni kuchagua. It's about what your priorities are.
 
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mhe Abdulaziz Mohammed Abood amekabidhi HUNDI ya Tsh Milioni moja (1,000,000) kwa umoja wa wanawake wa kanisa la Roman Catholic (RC) la Mt.Patrick lililoko Morogoro mjini kwaajili ya kusapoti mradi wa wanawake hao ambapo Mhe Abood alikuwa mgeni rasimi

29/10/2023View attachment 2797394
Tangu lini akawa na unasaba na ukristo, kuupenda ukristo! ni kampeni tu . Nanyi akina mama acha ujinga huo. Huyo anatafuta kura na siyo kuwa anathamini ukristo wenu,
 
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mhe Abdulaziz Mohammed Abood amekabidhi HUNDI ya Tsh Milioni moja (1,000,000) kwa umoja wa wanawake wa kanisa la Roman Catholic (RC) la Mt.Patrick lililoko Morogoro mjini kwaajili ya kusapoti mradi wa wanawake hao ambapo Mhe Abood alikuwa mgeni rasimi

29/10/2023View attachment 2797394
SGR itakuwa haifanyikazi , ili ma bus yetu yaendele na kazi.
 
Back
Top Bottom