Abood ahudhuria vikao maalum na muhimu vya maendeleo ya wananchi

Oct 8, 2023
37
17
OFISI YA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI

MHE. ABOOD AUDHULIA VIKAO MAALUM NA MUHIMU VYA MAENDELEO YA WANANCHI

RCC (REGIONAL CONSTRUCTIVE COMMITEE)
Hiki ni Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa ambacho ukaliwa mara moja kwa mwaka kujadili maendeleo ya Wananchi kupitia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ilioanzishwa, kubuniwa na kutekelezwa hivyo kuhudhulia kwa Wajumbe wa kikao hiki kuna maana kubwa kwa maendeleo ya Wananchi kwenye maeneo yao.

Mhe. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini ni mjumbe katika kikao hiki na hivi vifuatavyo, hivyo kwa kuwapenda Wananchi amekuwa akihudhulia Vikao hivi kila mwaka, Mwaka huu mwezi wa pili/tatu 2024 Mhe. Mbunge amekuwa kwenye vikao hivi na kujadili kwa kuchangia sambamba na kushauri kuhusu maendeleo ya WanaMorogoro Mjini.

(2) DCC (DISTRICT CONSTRUCTIVE COMMITEE)
Mhe Mbunge ameendelea kuhudhulia Vikao hivi vikubwa vyenye mstakabari mkubwa wa maendeleo ya Jimbo lake na hivyo mwezi wa pili 2024 amehudhulia kikao hichi ambacho mjadala wake unagusa kila nyanja katika maisha ya Wanamorogoro mjini

( 3) KIKAO CHA BODI YA BARABARA CHA MKOA WA MOROGORO
Kikao hiki kimekaliwa tarehe 12.03.2024 kikijadili hasa maendeoeo ya barabara zetu, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini amekuwa akiumizwa sana na changamoto ya ubovu wa baadhi ya barabara Jimboni kwake, hivyo kutokana na kikao hiki, mipango ya kurekebisha na kutengeneza baadhi ya Barabara unatekelezwa

Maendeleo yaliyofikiwa hadi hivi sasa ni kutokana na Mhe. mbunge kuchangia na kushauri kupitia maeneo mbalimbali vikiwemo vikao hivi muhimu kwa mstakabari wa maeneo yetu.

Imetolewa na,
Kitengo cha habari na mawasiliano Ofisi ya Mbunge.
20240313_104117.jpg
 
Kitengo cha habari na mawasiliano Ofisi ya Mbunge.View attachment 2933373
I think it's a series of the hopeless meetings in this country.
 
( 3) KIKAO CHA BODI YA BARABARA CHA MKOA WA MOROGORO
Kikao hiki kimekaliwa tarehe 12.03.2024 kikijadili hasa maendeoeo ya barabara zetu, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini amekuwa akiumizwa sana na changamoto ya ubovu wa baadhi ya barabara Jimboni kwake, hivyo kutokana na kikao hiki, mipango ya kurekebisha na kutengeneza baadhi ya Barabara unatekelezwa
Tnampima vipi kwamba amechukizwa? Au unampamba tu
 
Ndipo kazi yake hiyo. Halafu Mimi nikajua kaingia huko mitaani kumbe ni kwenye kiyoyozi.
 
"Naona nyani wameshanusa harufu ya mahindi kukomaa sasa wanaanza kutoka vichakani walikokuwa wamejificha"
 
Cha msingi ayatunze mabasi yetu ya kuzikia, haya mambo ya lami, maji na mengineyo kwa sisi wana Morogoro sio issue sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom