Recent content by flyover

  1. F

    Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Ni Mradi wa ubia na NHC, sitanii, fuatilieni
  2. F

    Ndugu Zitto ziarani Ulaya

    Zitto, you are just a talented young man. Keep learning and get as much exposure as you can. No one is perfect, but you are far far better than many of us. You are in the right direction, keep going!
  3. F

    Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

    Zitto is genuine and always speaks his mind, he can make a very good candidate. I'm in support of Pasco.
  4. F

    Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    The way picha inavyokwenda, Zitto will come out the Hero, kama picha ya posho kwa wabunge.
  5. F

    Wilaya mpya ya Wanging'ombe watishia kuhamia CHADEMA

    Si Mdandu wala Igwachanya, makao makuu ya wilaya yatakuwa Wanging'ombe kama jina la wilaya yenyewe lilivyo, full stop.
  6. F

    Waunguja wawabagua Wapemba

    Mleta mada hii, ndiye aliyetengeneza hicho the so called kipeperushi. Next time be more innovative.
  7. F

    Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano

    Kimsingi mtoa mada anatuongoza kuwa kila upande uwe na serikali yake (ya Zanzibar na ya Tanganyika) then kuwe na serikali ya muungano. Ikifika hapo mambo yote aliyoyajadili yatatekelezeka, short of that, mambo yote hayo mazuri tena yenye matumaini itabaki kuwa porojo tupuu.
  8. F

    Mkulo na Khijjah kumbe walikuwa "wanapiga"!?

    Mbona hii cha mtoto, subirini skendo za NSSF zikifumka, labda ushahidi uchomwe moto. Hata hivyo backup kibao siku hizi.
  9. F

    Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!

    You are the great upcoming man in all respect, keep it up
  10. F

    Baada ya Kumwagwa mawaziri 6, Je ni Wakuu Gani wa Mashirika wanafuata?

    PS wa Hazina ambaye kajitahidi kumsafisha mkuu wake kwa kuamuru kuuzwa kiwanja kwa METL, huku akishindwa hata kutoa neno kujisafisha mwenyewe na mkuu wake na milioni 964 walizomlipa Murrad Saddiq (SSSS) bila msingi wowote, wakiwahi uchaguzi wa 2010
  11. F

    Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!

    Yes its not enough and not to the expectations, but something has happened because of the pressure exerted by Zitto's group. Lets be honest, we are demanding for too much from him, we are supposed to congratulate Zitto for a job well done so far.
  12. F

    Pamoja na madudu haya, mkulo kwake ni upepo tu, ...atapeta

    Huyu ndiye ninayependezwa naye, msikilizeni yeye! Asema mkulu
  13. F

    Ukibaraka wa Zitto wa jana na unafiki wa Makamba wa leo!

    Mwacheni Zitto aitwe Zitto, na January aitwe Magamba
  14. F

    Mawaziri Wagoma: Mkulo asema hawajibiki kamati kuu CCM, Nundu acharuka, Maige niache

    Mkulo is a **** big time, madudu kibao, lakini wote tutaachwa midomo wazi kwa yeye kurudi kwa cabinet kama ananawa vile, ....SWAHIBA BANA!!
Back
Top Bottom