Mawaziri Wagoma: Mkulo asema hawajibiki kamati kuu CCM, Nundu acharuka, Maige niache

hehehehee mkulooo ,wazee wa kilosa walitutanabaisha kuwa ni m malawi hatukuwaelewa,mkulo kwa kiyao cha kwetu tunduru ni......

si kiyao tu hata kimwera inamaana ya.......!! Mmmh!. Nimesahau kidogo! Hivi mtu akienda haja ile nanihii inatokea wapi vile.....??
 
Jamani naomba kuuliza yafuatayo:-

1. Maamuzi ya wao kusimamishwa yatakapotangazwa yatakuwa CC imewasimamisha kazi au rais?
2. Kuna ubaya wowote kwa rais kuchukua baraka za CC kwa maamuzi mazito kama haya au ndio udhaifu kama wanavyodai wengine?
3. Rais angechukua uamuzi wa kuvunja baraza lote la mawaziri bila ya ushauri wa CC ingetafsiriwa kuwa ni dekteta au?

Naomba tujaribu kufikiri kabla ya kupost na nionavyo mimi kila mtu ana interest zake hapa sio kila kitu ku critisize..
 
Wandugu,

mimi kuna jambo bado sijalielewa.
Inamaana mawaziri wanaombwa kuondoka, au wanatakiwa waondolewe na kupelekwa mahakamani?

Source mwananchi.
Yale aliyokuwa anazungimza Nape leo kuwa mawaziri wanalalamika kuwa iweje ccm iwawajibishe badala ya Serikali ni dhahiri baada ya Mkulo kusema hawajibiki kwa chama.

Cha ajabu zaidi kulingana na Nape mawaziri wangoma kwa sababu iweje chama kifanye maamuzi ya serikali?

Kulingana na mahojiano yaliyomo ktk gazeti la mwananchi wanadai hawajapata taarifa zozote za CC na hawana comment.

Mie naona kila mwana CC na CCM woote wachafu ndo maana hawa jamaa hawataki kuondoka kama Adam Malima ndo hana hata habari
 
MKullo umekula hela za YAKUZA na Mafia wengine wa ASIA na sasa utatakiwa kuachia ngazi, kwa kweli nakuhurumia.

Hizi 10% mnachukua na sasa hamna cha kulipa mtakoma sasa.

Jamaa hawa walivyo wakatili, wataanzia familia kwanza ili uone uchungu wake.

Ulaji ndiyo umekwisha na msubiri mwaka 2015 mpandishwe kizimbani..... Hahahaa Bye byeee!!!
 
Kwere limekua joka la kibisa yaani kupiga chini mawaziri ni kitu ya kujiuliza? Mbona kuua vitoto vya chadema kule arusha hapakuwa hata na mjadala tulishtukia tu vitoto povu mdomoni vinavuja damu?

huna staha. unatutia uchungu kwa maneno yako yasiyo na huruma. kama una uchungu sema nakueleza vema .
 
Mkulo is a **** big time, madudu kibao, lakini wote tutaachwa midomo wazi kwa yeye kurudi kwa cabinet kama ananawa vile, ....SWAHIBA BANA!!
 
Back
Top Bottom