Mkulo na Khijjah kumbe walikuwa "wanapiga"!?

Nilipenda ile kauli ya akina Msingwa & Mbilinyi " Peoplesssss!!!.....Kamata mwizi meeeen!!! Very applicable here.
 
Kikwete angehusika angeruhusu CAG aipeleke ripoti bungeni ikajadiliwe? hayo yote yalikuwepo kwenye ripoti.

Mmemsakama sana Kikwete, mnarukia jitihada zake kuzifanya hoja zenu kumshutumu, hivi huwa mnafikiri kiukweli>

Mie naona mnajidanganya kila kukicha. Mngeyajuwa haya kama Kikwete hajampa meno CAG?
CAG hapewei meno na mtu binafsi anayeitwa KIKWETE, CAG yuko kisheria na anafanya kazi kwa mujibu wa sheria. Baba Mwanaasha ni mtumishi tu wa serikali ambaye amejitahidi kubana ripoti za CAG toka ameingia madarakani lakini ameachia mwenyewe kwa vile kila kitu sasa ni uwazi na ukweli. Angebana tu wabunge wa CHADEMA wangehoji bungeni kwa nini CAG hafanyi kazi zake kwa uhuru.
 
Aiseeeeeeeee...... usaniiii.... Uwiziiiiij wa waziiiiiii..... i feel pain... kamata hawa wote Khijah... Bi Kejo na wengine haraka sana JK do that.... plz
kesi ya farasi unapeleka kwa punda. . .
 
Hawa wezi ilitakiwa saa hizi wawe mahabusu,wanawachelewesha wa nini?mimi binafsi naumia sana kuona hawa wazi wanatanua mjini kwa hela zetu.
 
Join Date : 4th May 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Kikwete angehusika angeruhusu CAG aipeleke ripoti bungeni ikajadiliwe? hayo yote yalikuwepo kwenye ripoti.

Mmemsakama sana Kikwete, mnarukia jitihada zake kuzifanya hoja zenu kumshutumu, hivi huwa mnafikiri kiukweli>

Mie naona mnajidanganya kila kukicha. Mngeyajuwa haya kama Kikwete hajampa meno CAG?
Mkuu mbona unakuwa nanga namna hii jamani? Kikwete ndio amempa CAG meno? Kweli? Na hizo 'jitihada zake' unazosisema ni zipi? Hizi anasubiri wanakomba kila kitu halafu anawabadilisha wizara au anawafanyia graduation ya kuhitimu University of Corruption kama kina Ngeleja walivyofanyiwa juzi? Unakuwa na akili kama za Nape bwana
 
Mbona hii cha mtoto, subirini skendo za NSSF zikifumka, labda ushahidi uchomwe moto. Hata hivyo backup kibao siku hizi.
 
Back
Top Bottom