Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!

Nimepata picha sasa kuwa Pinda yuko pale kwa kuwa kabanwa sheria zilizopo. Cha msingi tusubiri kura za kina Zitto.

NB: ndugu Cookie na wenginewe unganisha hii kitu kule kwa Rutashubanyuma tafadhali
Last edited by Raia Fulani; Yesterday at 23:46.​

[MENTION]Raia Fulan[/MENTION]i..........sheria inayombana Pinda ni unafiki wake wa kuzaliwa nao..................hahitaji kuendelea kuwa serikalini ili aendelee kula...pensheni yake tayari ipo sasa huu ufisadi anaotufanyia wa nini..............but his sin will definitely find him out...............Numbers 32:23
 
Zitto hana lengo la kusaidia inji hii. Anafanya unafiki kukuza jina kuelekea kuwania uraisi. Sasa kahoja atakatoa japo inamuuma alijua atapata ka uwaziri.
 
Hatuna budi kuishukuru oparesheni hii ya uwajibikaji kwa kufanikisha watu kupata nyazifa na kutusaidia pia kuona ufanisi wao wa kazi.
 
Hatuna budi kuishukuru oparesheni hii ya uwajibikaji kwa kufanikisha watu kupata nyazifa na kutusaidia pia kuona ufanisi wao wa kazi.

HongeRa Zito Zuberi Kabwe, bila sahihi 70 Kama tulivyoambiwa ni upepo tu basi kweli ungepita. Cheo ni dhamana na ukiwa implicated kama waziri mapemaaa unajiuzulu next time ni rahisi kuwa reconsidered, ukifukuzwa kama kina Maige hata kama ni kwa majungu ujue uwaziri utausikia kwenye bomba. akaendelee na biashara ya malori mawili dola elfu 20 tuone. Somo na mjifunze. Mzee Mkulo usihofu ni kweli ule mkoba wa bajeti ambao huenda ulishauagizia suti hutaubeba tena ila zile nyama za mbuzi unazozipenda sana pale mbande utaendelea kuzigonga ila this time utakuwa na private car.
 
Ingawa wamejifanya ku re shuffle kuepuka aibu ya kujiuzulu poa,NGOMA YA M4C wameicheza hata kama na machozi machoni mwao.
 
Yaani umesharidhika kuwa wamefanya UWAJIBIKAJI.

Mkuu, ukiwa mtu wa namna hiyo, siku moja watakuliza sana hapo kwako.

Hao wa Tamisemi mbona bado wapo?

Ngoma bado ipo palepale, Pinda lazima ang'olewe kama hao hawataondolewa wote.
 
Huu ndo mwanzo.
 
Sina budi nikupe hongera kwa kutoonyesha uoga kwenye kazi yako.
 
Yaani umesharidhika kuwa wamefanya UWAJIBIKAJI.

Mkuu, ukiwa mtu wa namna hiyo, siku moja watakuliza sana hapo kwako.

Hao wa Tamisemi mbona bado wapo?
[MENTION]
Sikonge[/MENTION].................Tuko pamoja
Ngoma bado ipo palepale, Pinda lazima ang'olewe kama hao hawataondolewa wote.
 
You are the great upcoming man in all respect, keep it up

yes flyover......change we can believe in........and not change just for the sake of change........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom