Morinyo kwa kuwa Mkuchika, nyalandu, maghembe, Malima, Chiza n.k wamelindwa sasa kunakushauriana hapo au kupambana na khoja iendelee tu?
Suala la kumuwajibisha PM ni suala kubwa na linahitaji hata ushiriki wa wabunge kutoka CCM, kwa mabadiliko haya sidhani kama wabunge wa CCM wataikubali ile hoja.