Recent content by fixed_fangs

  1. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi ni mateso!!

    Ni shida....
  2. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Naunga mkono hoja ya promo ya utalii. Aidha, kuwatokomeza nyoka hawa kabisa, niamini mimi, madhara yake kwa binadamu na mazingira yake huenda yakawa makubwa kuliko ilivyo sasa.
  3. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Koboko ni kiboko sawa, ila kuna "chumvi" nyingi. Nimekutana nae aliyekomaa mara 2 porini. Mara moja nilitimua na hakunifukuza!
  4. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Hawaamini kuna kupona uking'atwa!
  5. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Unafaa kuongoza watalii.... Si kwa maelezo hayo murua!
  6. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo afunguka kuhusu bodi ya mikopo

    ">miaka 18". Yes, ni mtu mzima! serikali iwawezeshe, kupitia kodi zetu na si jukumu tena la mzazi!
  7. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili kupunguza chuki yangu dhidi ya nyoka?

    Soma elimu ya ekolojia ya nyoka. Utagundua ni viunbe poa Sana! Anza na google
  8. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Ref Familia ya Kennedy, USA,...ilikuwa tajiri na ilikumbwa na mabalaa pia!
  9. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania A living reincarnation, rebirth..!

    Asante.....
  10. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wanaopatana na wazazi na ndugu hudumaa kimaisha, wakati wanaowatupilia mbali ndugu huneemeka?

    Nadhani ni vizuri kutofautisha kati ya 1. "Nike"-style research, 2. scientific research na kitu kinaitwa 3. "anecdotal information". #1. Mtu yeyote anaweza kufanya, ila hitimisho lake huwa legelege. #2. Lazima hapa ufuate kanuni za kisayansi, na uwe mwasayansi #3. Hadithi tu - inaweza kuwa...
  11. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la Mungu kuhusu zaka ni nini? Niko kanisani naambiwa nitoe kwenye mshahara 'net'

    For the first time nimeelewa somo. Wewe ni Kuhami - barikiwa sana
  12. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari

    Ongezea Chidya
  13. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

  14. fixed_fangs

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Mpenzi Kiti cha Jini: Royal Bar Mwananyamala

    Kwa nini usitunge kitabu mkuu....? Tunacheka bure ilhali inaweza kulipiwa!
  15. fixed_fangs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri HR ananitaka kimapenzi

    Acha Rohombaya!
Back
Top Bottom