imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 47,490
- 72,744
Unajua kilichowashangaza watu ni kuwa huyu nyoka ni wakufugwa na huwa wanajua saa ngapi ana njaa ndio wanamuwekea msosi kwa mshangao wao badala ya kumla akamfanya rafiki ilibidi baadae wautoe msosi huo wakauleta mwingine ukaliwa.Mkuu huyo nyoka ameshiba. Nadhan unajua akimeza kitu nyoka anaweza kaa hadi wiki anafanya "digestion" kikiisha tu chakula tumbon huyu sungura hutomuona hapo tena.
Kuna zoo moja ipo Mbeya inaitwa IFISI (nadhan ni ya Waanglikani) kuna michatu mikubwa balaa ikishiba wala haina habar na sungura waliopo kwenye vyumba vyao tatizo njoo ikiwapata utaona mziki wake.