Salamu kwenu,
Hivi wakuu itakuwa nawavunjia heshima wazazi nikiamua kubadili jina? Mzee alikwishaga tangulia mbele za haki, kabaki mama tu.
Kipindi cha zamani hata wakati baba yupo mama aliwahi nigusia kuwa jina nililopewa yeye wala alikuwa hakilipenda ila ni vile mzee alishalipangaga hata...
Good morning JF!
Bado huna ajira. Una siku ya pili huna hata mia mbovu tangu Jumapili. Muda wa kodi umefika unadaiwa. Asubuhi ya leo ni simu kutoka kwa mama yako huko kwenu ndio inakuamsha kukupasha habari kuna changamoto imejitokeza inakupasa uende, acha tu kukosa nauli ya kukufikisha huko...
Huku tukiendelea kuchukua tahadhari zidi ya COVID-19. Tutafteni sana pesa...
Nimepita youtube leo nikabahatika kuiona video ya msanii wa WCB Rayvanny. Nikakumbuka huwa tunasemaga ukitoboa then ukabahatika kupitia picha zako za nyuma unaweza usiwalaumu hata chembe manzi waliokuwa wanakupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.