Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Thubutuuu .. Wewe unaonekana fisi kabisa
😲😲
Ungejua huku mtaani bonge la boya hata usingeandika hivi..

Usikute hata wewe unanijua ila ni vile tu id fake.. so ngumu kumtambua mtu humu tu sema tujitaje mbona itakuwa habari kubwa maana utaona maajabu mpk na huyu nae andika hivi..😅😂
 
😂😂Et kwaiyo
Ndo mlivyo maana jamaa ananiambia nitoe maelezo mafupi tu Sasa ukiambiwa hiyo kwahiyo itabidi uanaze kufunguka..😅
Sasa kama ulienda na tumaneno tuwili ndo utakuwa umefeli ya examination..
 
Jamaa chai sana huyu .. Kwanza madomo zege wengi huwa hawajijui mpaka waambiwe kuwa wao ni madomo zege

Cause wanachokifanya huwa wanaamini kuwa kipo sahihi hata kama wanakosea

Mfundisheni mwenzenu basi
 
Mama ushairi kitu gani mbele ya kazi iliyonakshiwa kwa ustadi na muumba
Ushairi unatamba huku tu ila huko mitaani hawajui kama mi hata ni mshairi!.. wanaona ni jamaa fulani tu ambae kwenye msafara wa mamba na kenge tumo..
 
Jamaa chai sana huyu .. Kwanza madomo zege wengi huwa hawajijui mpaka waambiwe kuwa wao ni madomo zege

Cause wanachokifanya huwa wanaamini kuwa kipo sahihi hata kama wanakosea
Dah! Mkuu unanikandia utafikiri nilishaga zurumu fedha yako 😅
Haya mi sio domo zege tufanye nimekutana na kiumbe ambacho nikikutana nacho kinanifanya nakuwa silent..😅
 
ACHA uoga! We mwanaume KUREMBA REMBA kunakupoteza mwisho inakuwa mchezo wa paka na panya.

He he! Mkuu mwanamke ni kiumbe Cha kubembelezwa unaweza katwa maini kwa majibu ya hovyo usipokuwa makini.. hapo anaweza kukujibu "KWAHIYO"😂
 
ACHA uoga! We mwanaume KUREMBA REMBA kunakupoteza mwisho inakuwa mchezo wa paka na panya.
Nitajaribu huto tu maneno lkn lazima niende na backup!
Ntakuwa na kibarua akizingua nakichomoa naanza kumsomea..😅
Maana nikisema niyakariri maneno nitajikuta nachanganya mafile naanza kumhutubia hotuba za rais wetu..😂
 
Toka lini wachambaji wakawa walimu..?
Watu wa namna hii wapo na nishawazoea.. swala la ufundishaji sio kwa huyu labda uchambaji maana ndicho nachokiona kwake..
Hahaa kwamba Mimi ni-mchambaji

No wonder kwa nini huyo manzi ana kutoa kamasi ... Licha ya list ndefu ya papuchi ulizowahi kuzitafuna
 
😂😂😂😂 Usisahau MREJESHO.

Nitajaribu huto tu maneno lkn lazima niende na backup!
Ntakuwa na kibarua akizingua nakichomoa naanza kumsomea..😅
Maana nikisema niyakariri maneno nitajikuta nachanganya mafile naanza kumhutubia hotuba za rais wetu..😂
 
Hahaa kwamba Mimi ni-mchambaji

No wonder kwa nini huyo manzi ana kutoa kamasi ... Licha ya list ndefu ya papuchi ulizowahi kuzitafuna
Ha ha mkuu huwezi amini ni moja tu nayo sikutumia maneno bali nguvu..😂
Alijua kabisa mi nataka halafu anauliza unataka nini..?!! Nikaona isiwe tabu nikakumbuka ule usemi "mwanaume utakula kwa jasho lako" nikaona sasa muda muafaka wa kulitumia jasho nikambeba kinguvu nachoshukuru alikuwa hapigi hata kelele..😂😅
 
Back
Top Bottom