The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,202
- 49,051
ndege JOHN sikiliza, kama unagawia watu nje, unajisifia kupiga mizinga mikubwa na kuchelewa kurudi nyumbani au kulala huko huko unaona ufahari, usifikirie Mke wako hayo mambo hayamkeri na kumsononesha. Shukuru amepoza machungu Kwa jirani ila jirekebishe mnyampaa.
Mie Kuna wakati mtoto akikosea nafura, nafoka nachukua kiboko nimshikishe adabu, Wazo linanijia hivi Mungu angekua anagawa adhabu Kwa dozi ya namna hii Kwa Kila kosa nnalofanya ningebakia salama kweli? Hapo nakua mpole inabidi npunguze adhabu na kutoa mawaidha na nasaha zaidi kuliko kutumia kiboko. Japo Wife anagomba unajifanya kulea watoto kizungu...
Nnachotaka kukwambia, huo ujasiri wa kumpa nauli wife na kumfukuza unao tu Kwa sababu hajakugundua au kukukamata kama wewe ulivyobahatika, lakini kimsingi wote mna hatia Tena wewe umepitiliza Kwa kuzoa Malaya na kutokununua umeme nyumbani na pesa unayo.
Sasa,
Achana na habari za kumfukuza wife. Siku ingine ikitokea tafrani ya namna hiyo, acha kabisa mambo ya kukimbilia kupigia watu wengine simu, jitahidi yaishe kati yenu wawili na ikishindikana kabisa hizo taratibu zingine zichukue nafasi.
Binafsi nilishaweka wazi kwamba, siku akiona tumeanza kuingiza watu kwenye mahusiano yetu kusuluhisha mambo yetu, ajue hapo mambo yamefika tamati. Yaani tukigombana aitwe ndugu au jirani kuja kusuluhisha ili tuendelee kukaa pamoja? Inamaana mie na yeye hatuwezi Tena kuendelea na mahusiano.
Najua ulichokishihudia kimekuumiza na kitakusumbua ila rudi kazini, mwache wife nyumbani. Mkimaliza huu mtafaruku mtaendelea kuishi pamoja lakini umewafaidisha watu ambao wasingejua kilichotokea kama usingewaambia.
Kama upendo umeisha kabisa kwake, endelea na maamuzi Yako, lakini kama Bado unampenda au kumhitaji kama Mke, naomba ufuate ushauri wangu.
Wajifya