Rayvanny wa 2011

Fisher_8

Member
Jul 26, 2019
80
224
Huku tukiendelea kuchukua tahadhari zidi ya COVID-19. Tutafteni sana pesa...

Nimepita youtube leo nikabahatika kuiona video ya msanii wa WCB Rayvanny. Nikakumbuka huwa tunasemaga ukitoboa then ukabahatika kupitia picha zako za nyuma unaweza usiwalaumu hata chembe manzi waliokuwa wanakupiga vibuti.
Inahamasisha tuendelee kupambana aisee, yajayo yanaweza kuwa yanafurahisha.

Sent from my Nokia 2 using Tapatalk
 
Maisha yanabadilisha watu aisee hapo alikuwa Kama Teja.
 
Kwenye hii video nimejifunza jambo moja kubwa kuwa inabidi uishi kulingana na aina ya muziki uliokutoa,mfano huyu dogo alikuwa anachana miondoko ya hiphop na alikuwa "mgumu" lakini amekuja kubadilika na kuwa mdebwedo kutokana na nyimbo za kulia lia na kubembeleza.Kumbe hata fid Q hiphop isingemtoa naye angekuwa mchele mchele kama wabana pua ila kwa kuwa hiphop imemtoa inabidi a act ugumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom