Recent content by firebridge

  1. F

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Nimeanza rasmi kilimo cha kuotesha uyoga. Nimegundua kuwa shughuli hizi hazijazoeleka sana na jamii ya watanzania . Natoa wito kwa wakulima wenzangu ambao wangependa kupata maendeleo kupitia kilimo hiki basi tuungane na kuionesha serikali kuwa kilimo cha uyoga kina faida keme kem kuanzia kuwa...
  2. F

    Kilimo cha Konokono

    Nimeona kwenye mitandao na kugundua kuwa kuna kilimo ama ufugaji wa konokono katika nchi mbali mbali hapa duniani na soko lilivyo kubwa la wakonokono duniani. Nimeona Nigeria wao wamefanikiwa sana kuwa shughuli hizo kiasi kwamba wanatoa mafunzo , wanazalisha mbegu na kuwatafutiaq wajasiriamali...
  3. F

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Viongozi wetu hawa hawataki kuongozwa maana shida yao kubwa ni kushika nyazifa kubwa kwa ajili ya maslahi. Imagine MhLowasa atakapokosa urais itakuwaje?
  4. F

    Kumbe Chadema imepoteza mtu muhimu- Professor

    Siasa za Tanzania hazihitaji utaalamu au wasomi. Ni siasa ambazo ni za ubabaishaji, uraghai na ubabe tu. Hivyo hata kama hujaenda shule lakini uwe na kigezo mojawapo wa hivyo nilivyovitaja basi umewini kwenye siasa za Tanzania. CDM hawawezi kujutia kwa kumkosa msomi huyo maana hana sifa hizo
  5. F

    Hatimaye Siri ya Wanasiasa wanaoenda Sero mara kwa mara Yabainika!.

    Ukivyosema inawezekana ni kweli. Si wana siasa tu ambao shule imewapiga chenga ,bali kuna baadhi ya wale wanaochangia hoja hii hawana cha kuchangia ila badala yake hutoa matusi tu. Hawa ni sawa na wanasiasa wale hawana nguvu ya hoja . Nadhani wewe uliyetoa hoja hii ungekuwa karibu nao basi...
  6. F

    Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    Tunavyojua uzinzi ni sawa na ulevi mwingine tu. Pia ulevi huu wa uzinzi una gharama nyingi tu. Hizo fedha na muda mwingi anaoutumia kwenye uzinzi bila shaka unatokana na mchango mkubwa wa fedha zinazotokana kwa ufisadi au michango ya wana CHADEMA na wale wote wapenda mapinduzi. Achana na...
  7. F

    Vodacom ondosheni kifurushi hiki cha GB 1

    Tangu kampuni ya VODACOM kuanzisha utaratibu wa kulipia shilingi 900 ili kupata kifurushi ambcho kinakuwezesha kupata GB 1 kwa upande wangu naona kampuni hiyo inafanya wizi wa wazi wazi kwani hakuna hata sikumooja uatumia hata MB 500 maana mtandao huo sijui umefungwa maana una search taratibu...
  8. F

    Kwa heri voda,tusijuane

    voda imeshakuwa ya mafisadi.inakata fedha za wateja itakavyo.bila ya kuulizwa na mtu, lakin kumbukeni kila kitu kina mwisho
  9. F

    Mgonjwa wa UKIMWI anyanyaswa na mkewe

    Mgonjwa mmoja ambaye ameathrika na gonjwa la ukimwi amekuwa akifanyiwa vitendo vya unyayasaji na mkewe kwa madai kuwa ndugu zake wamemtelekeza na kumwachia mzigo wa kumuuguza Mndrea Mwiyombo mabaye kwa sasa amepumzishwa kufanya kazi kutokana na afya yake kuzorota amekuwa akipata kipigo kwa...
  10. F

    Vodacom wamezidisha wizi

    Jamani si vodacom peke yake ndiyo wanatuibia. Wawekezaji wengi katika sekta mbali mbali wanafanya wanavyotaka bila kuulizwa na mamlaka husika. Hili li- nchi limekuwa shamba la bibi yeyote anavuna bila kuulizwa. Tutaendelea kuibiwa hata hapo tutakapotoa tongotongo
  11. F

    Barua ya wazi kwa Kamanda Polisi wa mkoa wa Dodoma

    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma ,kweli tunakubali juhudi zako za kukabiliana na uhalifu. Shida yangu ni huu uharifu wa barabarani hususan usafiri wa daladala. Unapopanda daladala kwa mfano hizi zinazokwenda St. Gemma mara nyingi unakuwa huna uhakika wa kufika unakokwenda kutokana na dala...
  12. F

    Nanukuu: Mgao wa umeme ni historia

    ngalia sasa nimechukuwa kitimoto kilo 200 leo hii narudi ofisini kwangu umeme hakuna. Bwana Mng'ong'o sasa mtaji wangu unaukata maana huo umeme utarudi saa ngapi. Sasa hasara hiyo utanifidiaje. Tunajua mmeshindwa kutatua kero ya umeme kwa watanzania , sasa msione aibu kututangazia ratiba ya mgao...
  13. F

    Membe na Kikwete ni ndugu

    Dunia kuna mambo, Mtu anayeleta topic kama hizi anatufanya kuona mitandao ni kwa ajili ya wahuni maanake topic zisizokuwa na ushahidi wa kutosha zinaonekana kuandikwa wakati waandishi hao wakiwa katika vijiwe vya wenye kuvuta........... Nawaasa wana jf wenzangu tuandike mambo yenye vichwa na...
  14. F

    Filamu ya Ray iitwayo 'Sister Marry' yapigwa marufuku na maaskofu

    Nashangaa kama Ray hajui kuwa kujaribu kuaqndika filamu ambazo zinadhalilisha imani za watu pamoja na maandishi mbali mbali ni hatari . Historia inatukumbusha yaliyompata mwandishi mmoja wa vitabu Rushid
  15. F

    Je ulifaham kubinafsishwa kwa Ziwa Victoria wakati wa Uongozi wa RaisMkapa na Sumaye?

    Nashindwa kuchangia maana hoja yako bado haujaithibitisha . Hivyo naiona kama vile kuweweseka ndotoni au hisia zako au una bifu na hao jamaa . Tunaomba ufafanuzi zaidi au ukae kimya
Back
Top Bottom