Mgonjwa wa UKIMWI anyanyaswa na mkewe

Mgonjwa wa UKIMWI anyanyaswa na mkewe

firebridge

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
20
Reaction score
5
Mgonjwa mmoja ambaye ameathrika na gonjwa la ukimwi amekuwa akifanyiwa vitendo vya unyayasaji na mkewe kwa madai kuwa ndugu zake wamemtelekeza na kumwachia mzigo wa kumuuguza

Mndrea Mwiyombo mabaye kwa sasa amepumzishwa kufanya kazi kutokana na afya yake kuzorota amekuwa akipata kipigo kwa madai kuwa anakula chakula kilichabakizwa na mkewe kwa ajili ya mlo wa baadaye

mgojwa huyo amekuwa akipigwa mara kwa mara kiasi cha majirani kuingilia kati ili kukomesha manyanyaso hayo bila mafanikio. Jana Jana amepigwa na kujeruhiwa kichwani baada ya kupigwa na kitu chenye incha akli. Majirani wanaomba serikali iingilie kati ili kumnusuru kuuwawa kwa kipigo
 
Mkuu ni sehemu gani hiyo tukio linatokea, na mkewe anaitwa nani?
Tupe habari za kina.
 
Huu ni unyanyapaa na unyanyasaji wa hali ya juu.
 
Mkuu hii habari haina details za kutosha,eleza ili namna gani asaidiwe.
 
Ni wapi huko!!!!!!!!

yaani huyo mke anafikia hadi hatua ya kumpiga tena na kitu henye ncha kalini hatare sana

tueleze kwa ufasaha basi
 
Mgonjwa mmoja ambaye ameathrika na gonjwa la ukimwi amekuwa akifanyiwa vitendo vya unyayasaji na mkewe kwa madai kuwa ndugu zake wamemtelekeza na kumwachia mzigo wa kumuuguza

Mndrea Mwiyombo mabaye kwa sasa amepumzishwa kufanya kazi kutokana na afya yake kuzorota amekuwa akipata kipigo kwa madai kuwa anakula chakula kilichabakizwa na mkewe kwa ajili ya mlo wa baadaye

mgojwa huyo amekuwa akipigwa mara kwa mara kiasi cha majirani kuingilia kati ili kukomesha manyanyaso hayo bila mafanikio. Jana Jana amepigwa na kujeruhiwa kichwani baada ya kupigwa na kitu chenye incha akli. Majirani wanaomba serikali iingilie kati ili kumnusuru kuuwawa kwa kipigo

Thatha therikali itamnuthuru vipi kuuwawa.?? kwa thababu grid isham-r.i.p
 
pole,,, we si rafiki yake nenda imalaseko super market kuna dawa inatoka zambia kwa uwezo wa mungu anaweza kupona kabisa hii ni siriaz!!!
 
Back
Top Bottom