Vodacom wamezidisha wizi

Vodacom wamezidisha wizi

Mimi nikuhusu hii huduma ya my no1.utakuta nimetupia vocha ya 1000 kwenye simu den wananionganisha automatiki kwa kunikata 152 hivi . Cha ajabu naongea na selekted namba mpaka 747 inaisha kwa muda huo huo. Je hii haki kwely bora waitoe tu!

Kwanini usiwapigie uwaambie hutaki na ujitoe/wakutoe...?
 
Jamani si vodacom peke yake ndiyo wanatuibia. Wawekezaji wengi katika sekta mbali mbali wanafanya wanavyotaka bila kuulizwa na mamlaka husika. Hili li- nchi limekuwa shamba la bibi yeyote anavuna bila kuulizwa. Tutaendelea kuibiwa hata hapo tutakapotoa tongotongo
 
Back
Top Bottom