ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 443
Kwanza kabisa ndugu mdau hii net
lazima uwe na modem ya
####COM hivyo basi kama unayo
tuanze somo letu fasta fasta na kama
una kalamu waeza note vitu flani
ambavyo unahisi utavisahau
ukikwama we nistue tu namba yangu
ni 0688148836
tuanzae sasa
nenda kwa google andika
neno PDPROXY.COM yaani kama hivi
kwenye picha apo chini
baada ya hapo basi wewe mdogo
mdogo click hilo neno then
litakuletea page kama hii hapa chini
baada ya kua umeclick hilo neno bas
utaona page hii hapa chini we
download tu hiyo software ambayo
ina kama mb 1 tu
ukisah download hiyo software bas
itakua zipped kwa wale ambao
hamjui software kuwa zipped yaani
inakua imekua compresed so
unahitaji software ku iunzip so wewe
iunzip then utacheki kifolder kama
hiki
bas wewe hicho kifolde ukikibonyeza
ukaingia ndani utaona mafile mengi
we yachunie hayo nenda mpaka
kwenye kijineno kimendikwa
pdproxy kibonyeze yaani kama hivi
yaani
then ukishakibonyeza tu utacheki
kisoftware hiki kinatokea bas wewe
utatakiwa kua na pasword yako na
username ili uweze kudownload.ila
nitakupa username na pasrd ambayo
utailipia 10000 tu kwa mwezi then
wewe ni kudownload tu mpaka
bas .kiprogram chenyewe hiki apa
chini
haya kama ukikwama we nicheki tu
namba yangu ni 0688148836
na user name yangu facebook ni
sadru mohamed
Hivi hiyo ni wenye pc tuu au hata simu???