Membe na Kikwete ni ndugu

Membe na Kikwete ni ndugu

Status
Not open for further replies.
Dunia kuna mambo, Mtu anayeleta topic kama hizi anatufanya kuona mitandao ni kwa ajili ya wahuni maanake topic zisizokuwa na ushahidi wa kutosha zinaonekana kuandikwa wakati waandishi hao wakiwa katika vijiwe vya wenye kuvuta........... Nawaasa wana jf wenzangu tuandike mambo yenye vichwa na miguu. Maana wengine tunafaidika na mitandao hii kwa kupashana habari na kujadiliana kama waungwana. Tunashindwa kuchangia hoja kwa habari ambazo zinaonekana ni pumba tupu.
 
Ni taarifa za kweli, lakini they share baba, sio mama. Baba wa JK alikuwa ni mtumishi wa serikali ya mkoloni, hakuwa mlala hoi mfuga mbuzi kijijini, so was baba mzazi wa Anna Makinda, Profesa Mwandosya n.k. Baba wa JK alikutana na mama wa Membe katika mizunguko yake ya kikazi, na huyu mama alikuwa ni sista miaka ya kabla. Ndio maana ni kawaida kwa JK mara moja moja kuelezea jinsi gani amelelewa pia katika mazingira ya kikristo.

sawa mkuu, nimekupata.
 
Good. Hoja nzuri imetufungua macho.
 
Mkuu mbona Benard Membe amesoma Itaga Seminary?

Membe alisoma Itaga Seminari A'level wakati O'level alisoma seminari ya Namupa huko Lindi si mbali sana toka nyumani kwake pale Mtama (Ntama) karibu na Nyangao. Baada ya A'level Itaga seminary nadhani alienda Seminari Kuu Peramiho ambako alisoma hatua ya filosofia, alipotakiwa kuanza teolojia ndipo alipogeuka na kupindia upande wa walei.
 
Habarini wanaJF!!!Kuna tetesi nimezisikia kwa muda mrefu sasa kuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernad Membe ni ndugu wa damu na Mkuu wa Kaya Mh. Jakaya Kikwete.Waheshimiwa hawa wanashea mama lakini baba zao ni tofauti. Inasemekana pia nyoka huyu wa mdimu (kama alivyoitwa na bw. mudhihir bungeni wakati fulani) hata uwaziri ni kama amepewa zawadi na kaka yake.Tetesi hizi ni za kweli!?
JF ni kboko!!!! Juzi hapa mmemtuliza Nape na kumbandikia mpaka picha.
Jambo moja ni dhahiri,mtu yoyote ambaye alikuwa karibu za JK na hakubahatika kupata chochote akapige ramli lakini ukweli ni kuwa hakuwaacha MARAFIKI na swahiba zake.Hili amejitahidi bila woga!!!!
 
Ukweli ni kwamba babake Jakaya alimtia mimba mamake Bernard akiwa sista huko Bagamoyo. Huyo mama alifukuzwa usista na kurudi kwao Lindi ambako alimzaa Bernard. Jakaya aliambiwa na babake kuwa kuna ndugu yake huko Lindi wakati huo Bernard akisoma Namupa Seminari huko huko Lindi. Ndugu hawa wawili hatimaye walikutana na wamekuwa karibu tangu wakati huo. This is an open secret.

Asante mkuu!
 
Membe alisoma Itaga Seminari A'level wakati O'level alisoma seminari ya Namupa huko Lindi si mbali sana toka nyumani kwake pale Mtama (Ntama) karibu na Nyangao. Baada ya A'level Itaga seminary nadhani alienda Seminari Kuu Peramiho ambako alisoma hatua ya filosofia, alipotakiwa kuanza teolojia ndipo alipogeuka na kupindia upande wa walei.

Asante mkuu!
 
Dunia kuna mambo, Mtu anayeleta topic kama hizi anatufanya kuona mitandao ni kwa ajili ya wahuni maanake topic zisizokuwa na ushahidi wa kutosha zinaonekana kuandikwa wakati waandishi hao wakiwa katika vijiwe vya wenye kuvuta........... Nawaasa wana jf wenzangu tuandike mambo yenye vichwa na miguu. Maana wengine tunafaidika na mitandao hii kwa kupashana habari na kujadiliana kama waungwana. Tunashindwa kuchangia hoja kwa habari ambazo zinaonekana ni pumba tupu.

mbona habari zipo nyingi mkuu. Au umelazmishwa kuchangia kila uzi?
 
haka kathread ni kazuri mno...ngoja tuone mwisho wake...kwa ufupi tu hata mimi jk ni ndugu yangu nimemwoa dada yake anayezaliwa na dnamu yake yule ambaye wanachangia bibi upande wa ujombani kwa yule bibi aliye wahi kuolewa na kaka yake mama yake jk wa kufikiwa ambaye aliachika....

on serious issues be serious too.this is a platform for mature and learned people.we do not entertain childish contributions.if you have nothing contribute just stay aside.
 
Namjuwa, alikuwa shangazi yake dada wa tatu aliyeolewa na mdogo wake mke wa mjomba'ke ambae ndio wifi wa shemeji yake toka ntoke.
 
on serious issues be serious too.this is a platform for mature and learned people.we do not entertain childish contributions.if you have nothing contribute just stay aside.
nani kakwambia this is serious issue?...kwani mimi kuelezea uhusiano nilionae kuna ubaya gani?
 
image.jpg N
ni ndigu si wewe mwenyewe unawaona?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom