Recent content by fikikungetaa

  1. F

    JamiiForums Tanzania Utakuwa ni mwisho ama kupunguza speed!

    Natarajia kubadilika positively, zaidi ya hapo. Kwanza hii kesho kutwa itakuwa mara yangu ya kwanza kupiga kura na ni muhimu sana kwangu. Bora nikashinde kwenye foleni siku nzima
  2. F

    JamiiForums Tanzania Utakuwa ni mwisho ama kupunguza speed!

    Baada ya kuapishwa Rais wa awamu ya tano au baada ya Jumatano 28 October 2015 inawezekana kakupungua au kuisha kabisa kwa mambo kama vile:- 1. Chuki binafsi na Baadhi ya matusi yaliyotokana na siasa 2. Kupungua au kuacha kuingia mitandaoni kusoma habari (kwa baadhi ya watu) 3. Kupungua kununua...
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu sasa umalaya bubu kwa wasichana wasomi

    Subiria tumalizie siku chache zilizobakia. Hizo habari zako zitakuja baada ya jumatano wiki ijayo. Watu tunashinda mitandaoni, kununua magazeti kwa wingi na kuyasoma, na kufanya discussions kibao zinazohusu nchi yetu na uchaguzi tu!. Hayo mambo ya mapenzi baadae, maana huwezi kufanya mapenzi...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye sifa hizo anitafute

    utamlipa Sh Ngapi?. Alafu mbona una complicate mambo ndg yangu!. Nenda mtakutana huko huko ila haya masharti hayafai kwa mtu kama wewe. Hakuna kiumbe kilichokamilika vitabia vingine mtarekebishana ndani ya geto mdogo mdogo, mbona hata Kanisani au Msikitini watu wanaingia hata Walevi, Wazinzi...
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

    Kuna mwngne yupo dodoma tena anajiita askofu wa kanisa X, house girl ndiye anafua hizo nguo za ndani zote na kutandika kitanda lakini mke wake yupoyupo tu anajifanya bosi. House girl mwenyewe ni mtu mzima umri miaka 21+ na mwili wake una umbo kubwa tu, shida sana!. Nyie wanawake jitambueni ndoa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwenye kipindi hiki cha uchaguzi, ujinga ni?

    Ujinga ni kushabikia chama 'X' majira ya mchana na kukipigia kura jumapili tar 25, kwakuwa walikupa elfu mbili usiku wa kuamkia jana.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Special thread: Ujinga ni?

    Ujinga ni kuwafokea watoto kwakuwa hawana akili, wadokozi, wana viburi, wezi, waongo, walaghai, n.k Wakati ukijua wewe tangu uzaliwe umekuwa Mwana CCM unasahau kuwa watoto wamerithi tabia yako ya U-ccm!! ha ha haaaaaaaa aaah!
  8. F

    JamiiForums Tanzania Post SMS za vichekesho na utani hapa

    Kama huwezi kulala kwenye Godoro la Dodoma Asili, nenda Moro ukalale kwenye Vigodoro!!.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ileje kwafukuta! Marceline Ndimbwa amkung'uta katibu wa Aliko Kibona

    Mwaka jana mwezi wa 6 nilipita huko ileje, yaani hakueleweki. Kumbe mna wagombea? m nikadhani hilo jimbo halina viongoz wowote, maendeleo zero na sijawahi kusikia mbunge akielezea shda za huko akiwa bungeni. Jitahidini kuchanganya Viongozi wenu na wa upinzani mtapata maendelea, serikal inahitaj...
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Jichunguze vitabia vidogo vidogo ulivyonavyo, inawezekana ww unaviona vidogo wenzio wanavichukulia tofauti. Mfano: unashabikia chama 'X' cha mpira ama siasa ambapo mwenzako anakuwa hatak kabisa kusikia hayo, pia weng mnaotoka chuo mnajisikia sana mkiwa mtaan mnapenda kujiweka mbali na wengne...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

    Kaserikali ka mseto kaleee!... kananukia. Mathematically umejitahidi ila ongeza bidii punguza error ndogo ndogo
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kafanya kituko kingine tena, mwaka huu tutaona mengi

    Kama akipita nahisi wawekezaji toka nje watakuwa wanaogopa kuja kuwekeza, na mawaziri atakao wateua wakiharibu kazi ataweza kuwapiga vibao hadharani. Mawaziri na watendaji atakaowateua wajiandae kupigwa vibao mbele ya familia zao endapo watafanya madudu kazini!, namtakia kila raheli endapo atapita
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana nimepoteza haki ya kupiga kura naombeni ushauri jamani

    Utashindwa kutenda dhambi siku ya jumapili, maana ungechinja wagombea na ungebakiza wachache. Sisi wengne tunaenda kuchinja mapemaaa! ili Mungu atuone
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuma salamu kwa mpenzi, mke, mume ama mchumba ambaye hutomsahau

    Umetisha baba fanueli. Na mm nafikisha salam kwa yule kiumbe ambae kila akisikia nmefika nyumban kusalimia wazazi nawe unakuja home kunitizama sura yangu japo nakukimbia kila mara maana najua umeolewa naogopa utanitia doa mtaani kwetu, salam zako zikufikie ila acha mazoea na vijana ambao bado...
  15. F

    JamiiForums Tanzania wizara ya mambo ya ndani imeanza kuita watu,mimi nimeitwa kwa nafasi ya refugee registration clerk?

    Ha ha haaa!, uswahilini mtu mwenye tabia kama hiyo tunamuita "Masikini Jeuri"
Back
Top Bottom