Post SMS za vichekesho na utani hapa

Mama akiwa amevaa "dera" amejiachia mwenyewe na kajisahau kama hajavaa pichu, pembeni amekaa mtoto wake mdogo akaona "ngenya" dogo ikabidi aulize.
MTOTO: Maaamaa, iyo nini?

Mama akastuka na kujikuta anaropoka.
MAMA: aaaah! ni kopo la sukari mwanangu.
MTOTO: Ahaaa! Kumbe ndo maana jana uthiku baba alikua analamba ukawa unalia........ ulikua unaogopa atamalidha leo tukothe ya chaiii.....?

😆😆😆
 
Yaweza kuwa mkombozi wako kama una moyo wa dhati kufanikiwa
Click hii link hapa chini
Job4Living.com Earn 5$-10$ per 30 seconds tasks, Earn 1000$ monthly - Online Job for jobless people
 
List ya wanyakyusa waliozamia Marekani:

1.Rick Ross (Eric Mwairosi)
2.Kanye West(Kanyetile Mwalwese)
3.Lady Gaga(Lidia Mwaigaga)
4.Chris Brown(Christopher Brown Mwakikonyola)
5. Baraka Obama (Baraka Mwakalinga)
 
  1. jamaa mmoja alikuwa kalewa chakari kwani baada ya masaa ya kazi alipitia kujiburudisha kidogo usiku wa saa nne karudi familia yote wamelala mke wake akamfungulia mlango kamwandalia chakula mezani mme wake akamnawisha mikono ulikuwa ni ugali kwa samaki sababu ilikuwa ni giza mke akampa mme tahadhari kumwambia mme wangu kuwa mwangalifu samaki wa leo wana miba mingi mlevi akajibu USIJALI mke wangu nimevaa viatu hahha follow me Raykidd
 
9ab3285ddb8f51246dd1c1d3adfc7280.jpg
 
Back
Top Bottom