Well maybe,but mi sio tegemezi,siku hizi mahusiano au ndoa ni kama ajira.. kila mtu anaagalia vigezo.. so inawezekana amekutana na anaekuzidi vigezo..
nowdays only fittest ndio wanaosurvive..
asilimia kubwa ya ndoa nilizouzuria miaka hii ni madem majembe darasani/maishani au mambo safi kwao.
siku hizi kawaida sana kpmg anaoa pwc au mtoto wa dewji anaoa kwa bakhressa.. mkwere anaoa asas..
so isije kuwa dada yangu ulikuwa na mtu unampenda sana but kwenye vigezo hamuendani may be mambo safi kwao au jembe maishani, mwenzangu na mie dressing table na lips shine umeridhika ni kiajira chako cha laki 5 na ka degree kako cha msaada helsb, so kajichekecha kaona hapa tutasumbuana mbeleni bora nisepe tu.
muhimu ni kukubaliana na ukweli maisha yamebadilika sana na uchumi wa kibepari hauna ndoa za kizembe zembe
Nimepata kitu hapa thanks mkuuTatizo lako mleta uzi ni hapo uliposema "napika, nampa mapenzi......mambo ya massage, madeko yote...." hii maana yake unaishi nae "kindoa" kabla ya ndoa. Huduma unazompa si stahiki yake, hizo hupewa aliyeoa.kwa hiyo wanakumanipulate halaf muda wao wa kuondoka ukifika wanatimka. JITHAMINI, na kuwa na KIASI, weka baadhi ya vitu kwa ajili ya MUMEO sio hawara.
kitu kingine CHANGE HOW YOU THINK ABOUT UR MR.RIGHT. hii huenda ndio tatizo KUBWA zaidi na chanzo cha yote. Namna unavyofikiri juu ya AINA ya mume umtakaye HAIKO SAHIHI, ndio mana unapata watu wasio sahihi. May i ask you? Unataka mume wa AINA gani? Tatizo ninaloliona mimi ni kuwa mabinti wangi wanachaguliwa aina ya wanaume na TREND YA DUNIA hasa magharibi ,yani wanawake wanaaminishwa kuwa mwanamume mzuri ni yule mwenye kifua kipana,misuli minene,mrefu,mwenye pesa ndefu,elimu ya chuo kikuu tena masters labda na kuendelea....this is completely not right. Tafta mume wa type yako, mume ambaye anaweza asiwe na vyote hivyo na still akawa ni mume bora kwako. Urefu,kifua kipana hakina lolote when it comes to real man and true love. Mwanamme anaweza kuwa andunje,fidodido na elimu ya form four tu but akawa na mapenzi ya kweli na akawa vissionary kuliko huyo wa chuo kikuu. Halafu pia ukitafta wa aina hiyo anaekwenda na western life perspective ujue umejiingiza katika kinyang'anyiro na its only the fittest will survive, wenzako pia watakuwa wanamtaka huyo huyo tena wengi.sasa jiulize what so SPECIAL do you have kitakachokufanya uwe na competative advantage kwao?
Change your mind, mapenzi huja tu naturally, na hayasakwi, ukiyasaka utajipa shida na mashaka usiokuwa nayo!pole sana!
Tatizo lako unadate na walamba lips,date na serious man and not hand rubbing/lips sucker type boys.
Cc: Money Stunna
Don't mention!Nimepata kitu hapa thanks mkuu
Ujue binadamu hatuwezi fanana wala kuwa perfect, i believe natakiwa nowe real and i deserve kuvumiliwa kama nnavovumilia wengine,Jichunguze vitabia vidogo vidogo ulivyonavyo, inawezekana ww unaviona vidogo wenzio wanavichukulia tofauti. Mfano: unashabikia chama 'X' cha mpira ama siasa ambapo mwenzako anakuwa hatak kabisa kusikia hayo, pia weng mnaotoka chuo mnajisikia sana mkiwa mtaan mnapenda kujiweka mbali na wengne kiasi kwamba mnakuwa km mnaishi Mbinguni, weng wenu hamfai kuolewa bali mnafaa kwa starehe na kuachwa tu. Jaribu kujiangalia vitabia vidogo vidogo jirekebishe tatizo utalimaliza usisahau kumuomba Mungu muweza wa yote!
Slow down girl, mid twenties...5+ relationships which I'm certain involved sexual intercourse, damn it..!!! Too cheap to my liking. Vaeni pichu jamani, ukigota 30+ bila ndoa si utakuwa umemaliza mtaani kwako!
Thanks for understanding,Pole sana dada, umenigusa sana. Mimi nikiwa mtu wa fasihi, umenigusa sana kwa sababu kupitia maandishi yako tu nimegundua you are a sincere person, and honest too. Moyo wako hauna mawaa. Kifupi ni mtu poa. Ishu yako ni complicated kwa sababu wanaokuacha hawakuambii sababu, Hii lazima imchanganye mtu yoyote. Unashindwa kujua labda nina kasoro ya kimaumbile? Nina kasoro ya kitabia? Lakini wanaokuacha pia ni watu waovu ambao hawataki kukuambia shida hasa ni nini. Hii ni most complicated case nimewahi kuisikia, japo kuna watu hapa wanakujibu ujinga wakidhani ni ishu nyepesi nyepesi. Inawezekana hii ishu ni ya kisaikolojia, yaani je wewe ni mtoto yatima labda? You become too nice and you expect very much attention? Kwa sababu kuwa too much nice kwa watu wengine wanachukulia kama upo desperate. Hivyo wakati mwingine sio vizuri sana kuwa too nice to people. Just be normal. Hiyo ni moja. Pili, chagua la mtu unaekuwa nae. Type ya wasichana kama wewe, unahitaji older people ambao ni understanding, sio hivi vivulana. Tafuta mtu mzima, watu wazima wamepitia mengi na ni waelewa, watakufaa. Vijana wengi wa umri wako bado akili zao zipo waruwaru, unakuta pia pembeni wana visichana vingine, ajabu ya mapenzi, watu wengi wanaishiaga kuwapenda wale wanaowarusha roho na kuwasumbua. Mwisho wa siku wewe anakusahau. So ni vizuri uwe na mtu mzima aliekuzidi miaka saba kuendelea ndo mtakuwa sawa kiakili. Inawezekana hao age mate wako ulionao umewazidi kiakili. Tatu, inawezekana upande wa kiroho, duniani kuna mengi, unaweza rushiwa tu roho la kukataliwa kutoka kwa ndugu au rafiki zako wanaokuonea wivu wa urembo wako. I don't know, anything can happen to these human beings. Unaweza kuta shida kumbe ni hiyo. Don't trust human beings. They are shit! Hebu jipe muda wa retreat, ujitafakari, lakini usione kama hayo yako ni makubwa, ni mambo madogo tu. Kuna watu kila akiwa na mwanamume anakufa... Hivyo hayo yako ni madogo. Sijui kama nimesaidia...
...ya right!! Just two words, "slow down!"Not all involved intercourse,
Too cheap for ur liking,haya poa Mr perfect hope ur dating a virgin,
Somethings in life i just can't explain
mid 20s na tangu aanze kuwa sexually active probably ni karibu 10yrs.....sasa watu watano ten years ni wengi??!!
Kosa lako unapenda sifa kwa sababu hata hii hoja yako inachembe chembe ya sifa za kijinga