House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

Mpaka kuleta mada hapa moyo na akili yako ishakwambia hapo hapako sawasawa.
 
Mwanaume ambaye hufuatilii mambo ya nyumbani kwako kila kitu hadi uambiwe hufai kuitwa kichwa cha familia
 
Kwakweli yale matone yanayodondokea ukimaliza tendo atakuwa anayatafakari sana housegirl wako. Usikute ashapeleka boxer zako kwa kalumanzila
 
Mkeo hana utu kabisa.Kibinadamu hata kama ni housegirl huwez mpa nguo za ndani afue.Kama anafanya hivo nnaimani kuna makubwa zaidi ya hayo anamfanyia dada wa watu.Kaa nae umkanye tena usimame kama mume asiyependa kuendekeza ujinga kwenye familia
 
Kuna Watu wana moyo.. H/G ashike boxer ya mr pata chimbikaa.. Yeye mkeo alikuja Hapo kujaza choo eeh?
 
Mkeo ana wasifu gn kwanza. .kikazi na alikotoka..ni wakishua sana eeeh
 
Duu pole huna mke huyo aliyekuwa anakufulia boxer ndiyo halali yako mtafute umshukuru kwa kumpa dushe ili akikumbuka asione kinyaa mtafute asee.
 
Wewe mwenyewe ni dhaifu yaani ukimuuliza kitu unakoromewa unanyamaza kumkomoa mke Wa namna hiyo ni kutembea na huyo maid maana mkeo ni mpumbavu ndio wale adi kitanda anatandika beki tatu yeye kitu anachoona cha kufanya yeye tu ni kukupa papuchu na jua ukijifanya mkali unasusiwa kila kitu
 
Hizi ndoa za sasa zinachekesha sana , mimi naona hata aibu mtu mwingine kunifulia nguo kama hizo.
 
Kuna mwngne yupo dodoma tena anajiita askofu wa kanisa X, house girl ndiye anafua hizo nguo za ndani zote na kutandika kitanda lakini mke wake yupoyupo tu anajifanya bosi. House girl mwenyewe ni mtu mzima umri miaka 21+ na mwili wake una umbo kubwa tu, shida sana!. Nyie wanawake jitambueni ndoa zitawashinda sana miaka hii msipojirekebisha
 
Ndoa sio laana kwani ni kitu kilichobarikiwa na mungu wetu,ila sisi wanadamu huwa tunamkaribisha shetani katika maisha yetu na hapo ndio inapokuwa tabu,shetani huwa hapendi kuona watu waishi vizuri ktk ndoa zao na huwa anajitahidi sana kutaka kugawa wanandoa kwani kwa kufanya hivyo anakuwa ameleta madhara ktk familia yote hadi watoto,la msingi pia ni kuiombea ndoa yako kwa mungu ili azidi kuilinda na shetani asipate nafasi.Kwani sisi wenyewe ni viumbe wadhaifu hivyo ni muhimu sana kuhakikisha mungu anakuwa kiongozi wa nyumba yako,kama wanavyosema usipomkaribisha nae atakuacha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom