Lowasaa maiki tu inamshinda ataweza kupanda juu ya gari?!
Apandejuu ya gari kwani yeye ni tanboy?????????/
Lowasaa maiki tu inamshinda ataweza kupanda juu ya gari?!
Wanatwambia ni mwadilifu na mchapakazi. Lakini hawatwambii kuwa huwa hatumii busara kwenye maamuzi.
Narudia kusema kuwa - Nitamchagua Lowassa kwa kuichukia CCM.
Mi nampenda saaana magufuli lakini siipendi CCM.
Kura yangu kwa Lowassa
Mkuu mimi ni mtanzania niliyelelewa katika mazingira magumu!nimesomeshwa na CCM mpaka chuo kuanzia shule ya msingi!nikaomba kazi nikapata na sasa hivi nalitumikia taifa langu kwa furaha!!
Bado nina imani na chama cha mapinduzi!!hasa MAGUFULI nina mwamini sanaaaa!
Changamoto ni za kawaida kwa kila nchi.Nina imani kubwa sana na Magufuli.

ukifanya hivo, hesabu umepoteza kura!
Sijakuelewa mkuu umesomeshwaje na ccm, au ulivyofika chuo ulipewa mkopo 100% ukajua umesomeshwa bure deni hilo inabidi ulipe