Recent content by Ferds

  1. F

    JamiiForums Tanzania Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

    Ss 9...mechi itakuwa live
  2. F

    JamiiForums Tanzania Makada wahamasishaji wa CUF Mtwara wavamiwa,kupigwa na kitu kizito pamoja na kutobolewa miguu

    Ukawa wameshindwa kushughulika mzozo huu kati ya chadwma na cuf huko mtwara.....alianza kutekwa mgombea wa chadema...then cuf nao wameathirika...inaweza kuwa ni mkono pia wa vijana green g pia
  3. F

    JamiiForums Tanzania Operesheni Zinduka: Makosa 2 ya Dr. Slaa na 1 la Freeman Mbowe

    Na jamaa lowassa anaimba Aliselema Alija...selema.selema.alija....halafu anasema ndio serekali yake ya mchaka mchaka.....huo mwimbo ni wa nani..mbona ukawa mnakuwa shortminded kiasi hiki...kwa mwaka huu hili liko wazi wagombea wote sera zinafanan...mabadiliko na kila mtanzania hasa mwenye akili...
  4. F

    JamiiForums Tanzania GE2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

    Mzee Mwanakijiji MM being a critical thinker in a society which doesnt thic crical issues need to be critically analysed is like wrestling with a pig in a mudland....because at the end of the day you will come to realise that it is the pig who is actually enjoying the same.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

    Eti na drc....uongo huu..mbona tumeenda kumsaidia kwake kuondoa m23
  6. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Kwa nn hukuleta taarifa hizi kabla ya mkutano unazileta wakati mkutano upo tayari na unajiita mratibu wa suala hili.......jamaa alitarajiwa kukosa watu hata wa kusombwa sasa imekuwaje.....imekula kwa haters....lawassa lazima afunike hapo hamna doubt ila jamaa kawasuprise
  7. F

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Taarifa ya familia inakinzana na ya polisi...mfano wamesema kuna wasamalia walikuja kuwasaidia...polisi wanasema eneo la tukio halina makazi ya watu ndio maana wahanga walikutwa peke yao bila mashuhuda.....fuatilieni what opposition parties are saying in Rwanda abt this death...hiyo siyo issue...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Call it by its name: Rwanda’s development story is a farce

    Umetumwa kukusanya sensa ya warwanda jf.....----!!!!!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzulu Kaburi la Mzee Peter Kisumo kesho

    Mwanzoni alikuwa anafuata mkia kila magufuli akitoa mguu..yeye kapita. .sasa hivi ni alipo jamaa yupo..analala mbele
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Watu wamedissolve vitu halafu itv walikatisha matangazo ghafla sijui nn kilitokea
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Huyu vp hajanunuliwa?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mbona agizo la tume linakiukwa

    Sumaye jana kasemaje kaka...au jivho laona kule lilipoelekea tu
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kufunga kampeni: UKAWA-Jangwani, CCM- Mwanza CCM Kirumba

    Mbona ratiba inaonyesha jamaa wapo dsm tarehe 24
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

    Uzushi mwingine ni upuu
  15. F

    JamiiForums Tanzania mkutano wa edward lowasa wadoda karatu.

    Alienda tanga...akafika wilaya ya lushoto huko pembezoni panaitwa soni na sio lushoto mjini..watu wa lushoto mjini wakahoji kwa nn anaishia soni..wakajibiwa eti atarudi tarehe 10/10/2015.....sasa ni mikutano takribani 3jamaa anawatia ndimu watu...kuna shida gani jamani tuambiwe
Back
Top Bottom