Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

ila waboreshe audio za vingamuzi vyao iwe kama dstv

kwa teknolojia wanayoitumia wakiboresha sound quality basi ung'aavu wa picha utapungua. Na wakipunguza tena quality ya sound basi picha itazidi kuwa bora zaid. kama startimes tu picha nzuuuri ila sound quality mbovu na signal zinakua juu.
i think so.
 
Ni kweli wako vizuri lakini bado wanakosa watu wa content hasa suala la news,vipindi na documentaries.

Azam wamewekeza sana katika suala la 'watangazaji' lakini issue ni je watatangaza nini? kinachouza kituo siyo watangazaji bali kinachotangazwa.

Aljazeera English ilipoanzishwa walichukua watu wengi kutoka CNN,BBC ,PRES TV nk lakini hawakuchukua watangazaji wengi bali 'wazalishaji wa content''.

Tangu kuanza kwa AZAM TV ni habari gani kubwa waliyowahi kuibua au ni kipindi gani cha nje (nje ya studio) kinachowauza mbali na kipindi cha Uchaguzi?'

Nafikiri nguvu kubwa wangewekeza katika suala la content badala ya kutafuta watangazaji maarufu duniani.

Tido alipoingarisha TBC hakuwa na watagazaji wapya au maarufu bali aliwekeza katika suala la content.

M.Byabato
Tv Journalist

Excellent comments!
 
Hongera azam media ni wakati wenu katika nyanja ya habari nchini.
 
Tatizo la Azam Tv ni kutotujali WaTz unalipa 12elf alafu channel unazopata ni Bukede sijui za Malawi nk mbaya zaidi ikikata pesa hata ZBC huioni na angalia huko Uganda kwenye ukabila kama hata UBC inarusha tv station hata moja ya Tz pamoja na kuwa Star Tv na akina ITV wangeunga vipindi hebu rekebisheni idadi ya Channel ktk kifurushi cha 12 elf au bei ya kifurushi Serious mnatuumiza zipo channel zinauza channel zingine , iwapo faida y Channel za kikabila wakati hatuungi mkono mambo ya ukabila hivi kwanini hata AMC isiwe ktk kifurushi cha 12elf mbona kuna Channels za kihindi nakinabei yake hakuna cha Kiafrika . Mbona chnl zingine zipo zipo tu hata ulipie zoote hutoona kitu punguzeni zile ambazo kwa sasa hamna mkataba nazo mnatudanganya kuwa mna Chnnel kadhaa kumbe ziko INACTIVE
 
Wana Jf Salaam kwenu!

Hakika nimeamini maneno ya Mwenyekiti wa Makampuni ya Azam Group kuwa anataka kuifanya Azam Media kuwa "BBC ya Afrika"

Baada ya kufungua studio kubwa na ya kisasa kabisa na kufanya usajili wa nguvu kwa kuwachukua nguli ktk tasnia ya habari kama Tido Mhando, Charles Hilary, Baruani Mhuza na sasa Kassimu Kaila.

Ni wazi kuwa Azam Media imekuja kuleta Mapinduzi katika sekta ya habari nchini.

Hongera sana
Nawapa hongera sana Azam Media. Ila ninashauri ili wawe BBC ya Afrika Mashariki inabidi wawe na wana habari wao ktk nchi zote zinazotumia kiswahili kama Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda na hata Somalia.

Vinginevyo itakuwa ni ndoto
 
Nawapa hongera sana Azam Media. Ila ninashauri ili wawe BBC ya Afrika Mashariki inabidi wawe na wana habari wao ktk nchi zote zinazotumia kiswahili kama Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda na hata Somalia.

Vinginevyo itakuwa ni ndoto[/QUOiTE]
wawachukue reporters wote wa BBC wa maeneo hayo
 
kama bado hawapatikani kwenye vingamzi vingine, bado itv atakuwa super brand
 
Mbona kassim kaila namuona hapa star tv kwenye dira ya dunia ya bbc swahili saa 3 usiku!
 
Mbona kayira anatangaza bbc nyie watu
 
Ni kweli wako vizuri lakini bado wanakosa watu wa content hasa suala la news,vipindi na documentaries.

Azam wamewekeza sana katika suala la 'watangazaji' lakini issue ni je watatangaza nini? kinachouza kituo siyo watangazaji bali kinachotangazwa.

Aljazeera English ilipoanzishwa walichukua watu wengi kutoka CNN,BBC ,PRES TV nk lakini hawakuchukua watangazaji wengi bali 'wazalishaji wa content''.

Tangu kuanza kwa AZAM TV ni habari gani kubwa waliyowahi kuibua au ni kipindi gani cha nje (nje ya studio) kinachowauza mbali na kipindi cha Uchaguzi?'

Nafikiri nguvu kubwa wangewekeza katika suala la content badala ya kutafuta watangazaji maarufu duniani.

Tido alipoingarisha TBC hakuwa na watagazaji wapya au maarufu bali aliwekeza katika suala la content.

M.Byabato
Tv Journalist
Nafikiri wamekusikia mkuu, kwa niaba ya tulio wengi.
 
Leo ndio siku ya mwisho anaaga rasmi leo hii. Kuwa na uvumilivu.
 
Back
Top Bottom