Kufunga kampeni: UKAWA-Jangwani, CCM- Mwanza CCM Kirumba

Kufunga kampeni: UKAWA-Jangwani, CCM- Mwanza CCM Kirumba

kimkakati hapa ccm wamechemka hii itaonyesha dhahir ni ukabila na ukitegemea kigezo hicho kiweze kum beba magufuli nadharia hii imefaili kati ya watu wenye mwamko wa kuichukia ccm kanda ya ziwa wapo juu na upepo unavuma hivyo , na ni watu pia ccm imewanyanyapaa kwenye madini ,uvuvi ,mifugo inaibwa sioni hoja hapa ya kushawishi ushindi

Aisee jamaa wewe ni bonge la analyst nadhani upo kwenye top 1 ya tz
 
patamu sana hapa ccm wanaenda kufunga kampeni kwa wavuvi wa sangara na sato .itakuwaje wakiulizia nyavu zao zilizochomwa moto ,na mgombea ni yule alietoa amri , itakuwaje wakimuuliza kuwa hata wewe wa nyumbani unatutesa hivi na familia ipate mlo mmoja mi napita tu nitarudi baadae

Idadi ya samaki iliongezeka kipindi cha Magufuli
 
Katika hili nadhani CCM wamechemka kabisa. Kanda ya ziwa(Mwanza, Mara, Shinyanga, Kagera, Geita, Simiyu) ndio eneo ambalo CCM kisiasa wana hali mbaya zaidi kuliko eneo lingine lolote katika uchaguzi huu. CCM walifanya makosa makubwa sana mwaka 2010 waliporuhusu CHADEMA kuigeuza kanda ya Ziwa kuwa Ngome yao kuu na wakashindwa kabisa kurekebisha hili kwa miaka yote mitano toka 2010.

Mwaka huu CHADEMA wamejizatiti kuchukua majimbo yote ya mijini huko kanda ya ziwa pamoja na madiwani wa kutosha ili kuongoza Halmashauri zote za hiyo miji ya Kanda ya ziwa.

Mahali pekee muhimu kwa CCM katika uchaguzi huu labda pangewafaa kufungia kampeni zao ni kanda ya Kati katika mkoa wa Dodoma kwa sababu ndio makao makuu ya CCM na nchi na wangekuwa wameepuka kabisa kujionyesha kama chama cha Kikanda.
 
Haina shida siku hiyo moja, haitabadili chochote, kila mtu atakuamekwisha amua nani atampigia kura, hiyo ni siku ya kuhitimisha tu. Lakini pia usisahau Dar pekee ina kura zaidi ya 2.5m!
Katika hizo 2.0m za CCM
 
Viwanja viwili vinategemea kuwaka moto siku ya mwisho wa kampeni trh 24.

Mgombea wa UKAWA mh Edward Lowassa atakuwa Dar es salaam kwenye viwanja vya Jangwani wakati mgombea wa CCM mh Pombe Magufuli atakuwa jijini Mwanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba imejulikana.

Katika rekodi zangu hii ni mara ya kwanza kwa CCM kufunga kampeni zake nje ya jiji la Dar es salaam.

fiesta likiisha tunaomba milango isifungwe, manake ikifungwa mtaleta maafa ka ya morogoro, chonde chonde jamani mageti ya kirumba yote yawe wazi watu wawe na uhuru wa kuingia na kutoka, tunawaomba chonde chonde
 
Hapo vepee?

Ukisikia tena mwandishi wao katimuliwa kwenye msafara wala usijiulize, ni zaidi ya mahaba.

Soma ratiba hiyo kisha uje ulete post yako na sio mahaba na tetesi

Mbona ratiba inaonyesha jamaa wapo dsm tarehe 24
 
Katika hili nadhani CCM wamechemka kabisa. Kanda ya ziwa(Mwanza, Mara, Shinyanga, Kagera, Geita, Simiyu) ndio eneo ambalo CCM kisiasa wana hali mbaya zaidi kuliko eneo lingine lolote katika uchaguzi huu. CCM walifanya makosa makubwa sana mwaka 2010 waliporuhusu CHADEMA kuigeuza kanda ya Ziwa kuwa Ngome yao kuu na wakashindwa kabisa kurekebisha hili kwa miaka yote mitano toka 2010.

Mwaka huu CHADEMA wamejizatiti kuchukua majimbo yote ya mijini huko kanda ya ziwa pamoja na madiwani wa kutosha ili kuongoza Halmashauri zote za hiyo miji ya Kanda ya ziwa.

Mahali pekee muhimu kwa CCM katika uchaguzi huu labda pangewafaa kufungia kampeni zao ni kanda ya Kati katika mkoa wa Dodoma kwa sababu ndio makao makuu ya CCM na nchi na wangekuwa wameepuka kabisa kujionyesha kama chama cha Kikanda.

Huenda unaandika hii post uko Dar,ila nikuambir tu kanda ya Ziwa Mgombea pekee atakayeongoza ni Magufuli..."uluulema lekaga nkoi tugwisaga halubuga"
 
Huenda unaandika hii post uko Dar,ila nikuambir tu kanda ya Ziwa Mgombea pekee atakayeongoza ni Magufuli..."uluulema lekaga nkoi tugwisaga halubuga"

WENYELE naona unaropoka tu hapa. Mimi nimeandika FACTS wewe unaleta ushabiki.
Mwaka 2010 CCM ilipoteza majimbo ya Mwanza mjini(Ilemela na Nyamagana) ikapoteza Musoma mjini, ikachakachua jimbo la Shinyanga mjini(CCM ilitangazwa mshindi kwa tofauti ya kura moja tu), Ikachakachua Bukoba mjini nk. Hapo unategemea nini?
Hivi unajua wabunge wengi wa CHADEMA wanatokea Kanda ya ziwa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom