tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Imeshangaza abdala bulembo kama kiongozi wa ngazi ya juu ktk chama chake , akiwa katika kampeni za kumsindikiza mgombea urais wa chama iko alipo kuwa akikiuka agizo la tume kuacha kuwasema watu na mambo yao binafsi na kunadi sera, chakushangaza mwandamizi huyo wa chama iko bila aibu alikuwa akitoa maneno ya kashfa kwa tundu lissu, na matusi kwa mh, halima mdee, hii aikubaliki hata kidogo anadi sera sio kuzungumzia mambo binafsi ya watu