Lowassa kuzulu Kaburi la Mzee Peter Kisumo kesho

Mbona alipofika tanga hakuenda kuzuru lile la mgombea wa chadema aliefariki??

First things First!

Nadhani anaanza kuzuru yule wa kwanza kufariki na kuzikwa!

Pengine akitoka huko atakuja kwa yule wa tanga huko mbeleni!
 
Hii Ratiba ya Lowasa mbona haieleweki? C alikuwa awe Musoma? ratiba imebadilika ghafla?

Anavizia tu..name kutafuta attention ya media..kampeni zimekosa muelekeo ni unga mwana tu ila kukamilisha ratiba
 
Kuna mdau mmoja WA ukawa alisema lowasa anashambulia na kujihami au tuite counter attack.
mpinzani ccm hapaswi kujua nyendo za lowasa

Mwanzoni alikuwa anafuata mkia kila magufuli akitoa mguu..yeye kapita. .sasa hivi ni alipo jamaa yupo..analala mbele
 
Wakuu wanajamvi

Kama mtakumbuka kuwa rais mtarajiwa wa JMT, ndugu Edwad Ngoyai Lowassa alizuiliwa na serikali ya CCM kuhudhuria mazishi ya kada wa chama hicho, marehem Mzee Kisumo.

Lakini kwa kuonyesha upendo wa dhati kati ya Lowassa na mzee Kisumo, kesho mh. Lowassa atalizuru kaburi la mzee wetu na kuweka shada la maua pamoja na kuhutubia mkutano mkubwa utakaofanyika viwanja vya shule ya sekondari ya Usangi Day.

Kama upo Usangi/ Ugweno unakaribishwa.

Madava mpenda/mabadiliko
Havache mno ambiere!
 
Kwa muda huu nasikia Mh Lowassa ameshawasili hapo nyumbani kwa Marehemu Kisumo

Tunaomba picha pls!
 
Attachments

  • TMPDOODLE1444135510112.jpg
    TMPDOODLE1444135510112.jpg
    18.4 KB · Views: 305
Wakuu wanajamvi

Kama mtakumbuka kuwa rais mtarajiwa wa JMT, ndugu Edwad Ngoyai Lowassa alizuiliwa na serikali ya CCM kuhudhuria mazishi ya kada wa chama hicho, marehem Mzee Kisumo.

Lakini kwa kuonyesha upendo wa dhati kati ya Lowassa na mzee Kisumo, kesho mh. Lowassa atalizuru kaburi la mzee wetu na kuweka shada la maua pamoja na kuhutubia mkutano mkubwa utakaofanyika viwanja vya shule ya sekondari ya Usangi Day.

Kama upo Usangi/ Ugweno unakaribishwa.

Madava mpenda/mabadiliko

Sioni mantiki ya kwenda kwenye kaburi leo wakati alipewa nafasi ya kwenda siku ile ya msiba akakataa eti sababu wafuasi wake wamezuiliwa kuambatana nae. Msiba wa mwenzie yeye anaona ndio kete ya kisiasa. Au anaona yeye ataishi milele? Haiwezekani watu wanaomboleza wewe unaenda kufanya publicity yako kwenye msiba. Unadhani aliyekufa alipenda afe? Tafadhalini sana hata marehemu wao wanaheshimiwa. Kwanza msibani utaendaje na wafuasi, hii ni maajabu kweli.
 
Kwa Mafuriko Haya Hapa Usang Maghembe Kwaheri
 
Back
Top Bottom