mkutano wa edward lowasa wadoda karatu.

mkutano wa edward lowasa wadoda karatu.

Acha maurongo, nimetoka karatu juzi hawataki kusikia habari ya nyinyiemu wala yule babu kigeugeu.
 
Ikulu sio maala pa watu wanaoishi kwa matumaini mzee wetu pumzika kwa amani liache jembe letu a.k.a tingatinga likapige kazi kama . Kama imekuuma kajinyonge
 
Ratiba ya lowassa ipo kichwani mwake.usishangae ukiambiwa kesho yupo yombo dovya.lowassa haoni tabu kuwalipa watu xwafurike halafu asiwahutubie kisa eti wamekuja wengi sana kwa hiyo atarudi siku nyingine kana kwamba siku hiyo watakua wachache.full usanii
 
Kabombe c unajua degree yake ya kwanza alisomea usanii kwa hiyo usishangae hata hii ya kutaka uraisi anawaigizia ukawa yeye mwenyewe anajua kwamba hawezi kwenda ikulu
 
Alichomshinda Mgombea wetu li English tu, ambayo wakalimani kibao serikalini. ccm oyee!
 
Nyumbu ktk ubora wao Karatu waliandaa mpaka jeneza lakuizikia ccm, sasa maandalizi yameamishwa tarehe 9
 
Mkutano umeshindikana kutokana mgombea kushindwa kuwasili uwanjani.watu wameanza kuondoka kwa hasira.
Kudoda nini? hebu acha kutumia maneno yanayotumiwa na makahaba. Mmmmmh nimekumbuka wewe huwa unapatika kinondoni makaburini
 
Ukawa Mbona Unataka Kututupia Lawama Sisi,hivi Hao Wenzenu Waliokuwa Wanamsubiri Ni Wajinga?Inamaana Wote Hao Walidanganywa?Inamaana Mpaka Viongozi Wa Karatu Wa Ukawa Wanasimamia Maandalizi Ya Jukwaa Na Vitu Kama Hivo Walidanganywa Ratiba??Acheni Kutukejeli Na Kutushutumu Kwa Kila Kitu Wakati Vitu Vipo Clear Kabisa....!!![/QUOTE

Yawezekana MZEE wa watu ameshindwa kutembea mpigeni kale kashoti kwanza huenda akawa POA. Sijui lkn kilichompata huenda kachoka. Tunwombee na hivi ikulu haendi.
 
hii imekaaje wamewahidi watu atakuja tar 9 cdhani maana ratiba ya jimbo mara mbili cjui km itawezekana.

Alienda tanga...akafika wilaya ya lushoto huko pembezoni panaitwa soni na sio lushoto mjini..watu wa lushoto mjini wakahoji kwa nn anaishia soni..wakajibiwa eti atarudi tarehe 10/10/2015.....sasa ni mikutano takribani 3jamaa anawatia ndimu watu...kuna shida gani jamani tuambiwe
 
Weka picha,vinginevyo
kalale mapema kesho uwahi vikoba.
 
Back
Top Bottom