Recent content by felicianmodest

  1. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa kutokwenda kuwaaga askari wetu waliouawa amenishangaza

    Kuna kick. Siku hizi.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Rushwa imekithiri kwa Trafiki eneo la St. Peters Oysterbay

    Nchi yenye watu maskini rushwa haiwezi kuisha,tena magu akiendelea na hii ahenda atazeeka bure maaha hata ikula walaji wapo,watu wanaendelea kupiga kama kawa,ushirawadu ni mwingi,bro fanya mambo yako kama umetoa poa somesha mwanao naye awe polisi ili nae ale,lakini hakuna haki,sheria bali ni...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwa asili kuna Dini moja kwa nini kuna madhehebu mengi?

    Ni kama kumwabudu mungu ni sawa tu kwa kila mtu tofauti tu ni namna,maana dhambi ni dhambi kwa kila mtu na dhambi zote zinafanana.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ndugu zangu wananiomba sana hela, hii imekaaje?

    He,kwa maisha yalivyo sijui unafanya kazi gan lakini kama unalipwa chini ya laki tano na uko Dar,unacjoweza kupata ni zawadi tu lakini kutunza mtu huwezi,pia kuombwa hela ss huku kwetu ni jadi tena ya kunyea kiroba eeh sa hizi sio tena ,lakini mtu anakuomba hela ya sigara,muhimu ni nani umsaidie...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naliona anguko la Elimu lilikija kwa speed

    Elimu kwa kweli sasa ni shimo la taifa hili,walimu hawathaminiwi,miundombinu hafifu na haitoshi walimu hawatoshi waliopo hawaongozwi ipasavyo,sera zinakinzana,mfano mtu anakwambia hakikisha hupati div zero wakati alikuletea mtahiniwa asieweza hata hesabu ya kutoa,watoto na walimu hukaa mbali ya...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

    We hujaziona?kutoka raia mwema mpaka kauzu studio.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini chama cha CHADEMA hakipendwi na watu wengi siku hizi?

    Hee,mti wenye matunda huo.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya Nape Nnauye kinanifanya nione umuhimu wa hatua zilichokuliwa na CHADEMA kwa Zitto

    Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama,na serikali.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Ninyi mnataka aseme nni?hivi yanayosemwa ktk nyumba nyingine mnayajua?mlizoea kuoshwa tu na kusifiwa maisha ni pamoja na hayo,sheria ipi amevunja?au ndo yaleyale matumizi ya ñguvu,hii nchi yetu sote .
  10. F

    JamiiForums Tanzania Start From Now: I'm CCM, Real CCM

    Nafurahi kuona maoni yako lakini mi nikimsikia Mze Hashim Rungwe, naona anajitahidi ,ila vyama vyetu vinatakiwa kufanyiwa marakebisho na hizi kelele za watu si bure kwa sababu mi binafsi sifahamu falsafa na misimamo ya vyama vyetu,kuna wasimamia jembe na nyundo ndio wakandamizaji na...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kubadili ownership Gari

    Hapana,peleka tu vitu muhimu.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kubadili ownership Gari

    Uende na tin number,mkataba uliosainiwa na hakimu,kadi original, fedha tasilimu si chini ya laki moja kutegemeana na fefha uli;nunulia gari yako(iliopo kwenye mkataba).
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni tiba; Chadema mna kumbukumbu fupi sana, CCM wana Chuki za kudumu.

    Kweli lakn chuki si nzuri busara ni kitu muhimu sana.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Start From Now: I'm CCM, Real CCM

    Mbona unazungumzia chadema tu vipi Chauma,ADC,Nccr,CUF, huoni kwamba una sgenda binafsi maana hao nao wapinzani,mi badhani tuwape heshima viongozi wetu wa vyama vyote,huwezi kubadili mfumo,mfumo unabadilika wenyewe.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

    Nakuonea wivu ila ipo siku mimi nitafanya hivo nikijipanga.
Back
Top Bottom