sir j
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 317
- 212
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda kwa upande wa mfumo wa elimu yetu, nalishuhudia anguko kubwa la elimu likija kwa kasi. Wengi hamtanielewa, but mark my words.......
Kwa mwendo huu, taifa litaendelea kuzalisha vijana wasomi hewa, pia tunaendelea kuzalisha matapeli wengi wasomi mitaani. U wapi upropesa wa viongozi wetu wa elimu...???? Mbona sioni mikakati murua ya kuiboresha elimu yetu..??
Mwenyezi Mungu atuepushe na hili...............