Recent content by Feisal2020

  1. Feisal2020

    Watu wanne wauawa na wananchi wakituhumiwa kwa uvamizi na upigaji nondo

    Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kutekeleza matukio mbalimbali ya uvamizi na upigaji wa nondo na kupora mali za wananchi jijini Mbeya. Mbele ya waandishi wa habari jijini Mbeya kamanda wa polisi mkoa mkoani humo kamishna msaidizi...
  2. Feisal2020

    Red black, dosho12, lightsaber, kimya sana, hamis77, natumaini hamjambo?

    Humu ndani hamna mtu ana mawasiliano na min -me nje na hapa?
  3. Feisal2020

    Movies na series Kali za Kijasusi: Chukua mbili hizi kisha shusha zingine

    Mkuu naona tuna taste ya muvi/series inayofanana. Hizo ulizotaja hapo ndo mambo zangu kabisa, hapo ongeza Fatal Seduction.
  4. Feisal2020

    Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

    Asante kwa faraja, mkuu. Asante sana.
  5. Feisal2020

    Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

    Nakuombea amani katika kipindi hiki kigumu kwako na wapendwa wako... Najua unachopitia, nilipoteza mtu wangu wa karibu mwanzoni mwa 2024 na sijawahi kupona hadi leo, kuna siku maumivu yanakua makali kuliko ile siku tukio limetokea... Kuna kipindi namuota hata wiki mfululizo, ni maumivu ambayo...
  6. Feisal2020

    Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Humu naona kila mtu yeye alikua mzuri ila wabaya ni hao waliokua rafiki zake. Miaka kadhaa nyuma nilikua na hali mbovu sana ya kiuchumi kwa sababu kuna namna nilijichanganya nikawa na majukumu mengi halafu sina kazi yoyote so nilijiajiri kuwa afisa ubashiri, ili nipate hiyo pesa ya kuipeleka...
  7. Feisal2020

    “The birds will be flying high tomorrow”

    Rose Muhando? Jokes aside, na mimi kama mtoa mada tu... Nimeambulia JK
  8. Feisal2020

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    😁😁 Bro ana roho ngumu kweli, inaonekana ni ile aina ya watu akiamua lake ni lazima analitimiza kwa namna yoyote ile
  9. Feisal2020

    Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

    Ameandika kama vile yeye ndio Hamonaizi Wamataizi... au niondoe neno 'kama'??
  10. Feisal2020

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    "Kuna siku nikamkuta kwenye friji nikamshika makalio. Akashtuka. Nami alivyogeuka nikashangaa... Nikamwambia. Asiee.... Nlidhani ni Aisha... (Dada yake) Nlimwambia umekaa sana na dada yako mpaka sasa mnafanana" - GuDume., (2025).
  11. Feisal2020

    Kuuzwa kama njugu kwa video ya wadada wa kitanzania wanao fanya mapenzi ya jinsia moja kuna leta tafsiri gani?

    Inasikitisha kwa kweli, tunalipeleka wapi taifa letu? Uko wapi utu wetu? Yako wapi maadili yetu ya kitanzania? Ziko wapi hizo video?
Back
Top Bottom