Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

Kifo hakikwepeki we are not here to live forever ...
Enjoy every second to the fullest 🥳🎉🎉🎉🎉🎉
"If You Work For A Living, Why Do You Kill Yourself Working?" And I'm asking if we live so we can die why do we born?? Au unamatumaini ya kwamba one day mtafufuliwa upya na kuishi tena?
 
Ahsante 😢
Nakuombea amani katika kipindi hiki kigumu kwako na wapendwa wako... Najua unachopitia, nilipoteza mtu wangu wa karibu mwanzoni mwa 2024 na sijawahi kupona hadi leo, kuna siku maumivu yanakua makali kuliko ile siku tukio limetokea... Kuna kipindi namuota hata wiki mfululizo, ni maumivu ambayo sitamani mtu mwingine apitie.
 
Wee ni muongoo,

Sisi tuliwahi hamisha maiti iliyozikwa zaidi ya miaka 13 tulikuta yupo safi, ila alikauka sana yaan kau kau, ila eneo la tumbo ndo lilikua limeshambuliwa sana na wadudu, tulimkuta kucha ndefu, nywele ndefu, na had nguo alizozikwa nazo ziliharibika maeneo ya pale tumboni, kwingine zilikua safi.

Labda wee uzungumzie kuhusu uzikaji waislamu, ila wakristo na Yale majeneza, wanakua bado safi kwa muda mrefu.
 
😀 😀 😀 Eti sehemu za siri hutoa harufu kali sana... Why.....ukioza umeoza tu, mnuko wa uozo ni sawa.
Msitutisheeee
Msitudanganyeee
We ulisikia hiyo harufu.... ukanusa usirini
 
Umejuaje hili? Japo ni kweli dharau, kiburi, majivuno na chuki vina mwisho wake.
 
Mimi ninawaza tu siku ya kufa kwangu,,usiku wangu wa kwanza makaburini sijui itakuaje,,watu wamekuzika na kuondoka, giza limeingia, hakuna marafiki, wala ndugu, umeme wala ulinzi, hiki ndo kinanipa uoga sana nitakapofariki
 
We jamaa fix wewe dah

Yaani siku ya 3 kucha zianze kutoka si mafriji ya mochwale yangekuwa yanajaa kucha na nywele
Umesema friji je ardhini kuna friji??
 
Mimi ninawaza tu siku ya kufa kwangu,,usiku wangu wa kwanza makaburini sijui itakuaje,,watu wamekuzika na kuondoka, giza limeingia, hakuna marafiki, wala ndugu, umeme wala ulinzi, hiki ndo kinanipa uoga sana nitakapofariki
daah ndo ivo mkuu joto na giza tu
 
Nakuombea amani katika kipindi hiki kigumu kwako na wapendwa wako... Najua unachopitia, nilipoteza mtu wangu wa karibu mwanzoni mwa 2024 na sijawahi kupona hadi leo, kuna siku maumivu yanakua makali kuliko ile siku tukio limetokea... Kuna kipindi namuota hata wiki mfululizo, ni maumivu ambayo sitamani mtu mwingine apitie.
Pole sana Mwenyezi Mungu aendeele kuuponya moyo wako kadri siku zinavyokwenda.
 
Wee ni muongoo,

Sisi tuliwahi hamisha maiti iliyozikwa zaidi ya miaka 13 tulikuta yupo safi, ila alikauka sana yaan kau kau, ila eneo la tumbo ndo lilikua limeshambuliwa sana na wadudu, tulimkuta kucha ndefu, nywele ndefu, na had nguo alizozikwa nazo ziliharibika maeneo ya pale tumboni, kwingine zilikua safi.

Labda wee uzungumzie kuhusu uzikaji waislamu, ila wakristo na Yale majeneza, wanakua bado safi kwa muda mrefu.
Kwamba ana nywele? Kama alitolewa mochwari mkaenda kumzika huenda waliomba apuliziwe dawa ili achelewe kuoza lkn ukweli ni kwampa hio melanin pigment na keratin zinakuwa not secreted out kwaio au niishie hapo tu
 
😀 😀 😀 Eti sehemu za siri hutoa harufu kali sana... Why.....ukioza umeoza tu, mnuko wa uozo ni sawa.
Msitutisheeee
Msitudanganyeee
We ulisikia hiyo harufu.... ukanusa usirini
Ushawahi ona mzuga wa binadamu anyway wa siku 4 ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom