Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

watu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup

Kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza na niliwaambia watu kadhaa kuwa uingereza mwaka huu wanatwaa taji la dunia na leo nimeamua kuweka uzi huu hapa jukwaani ili watu wote waone na wao kutoa maoni yao maana hili ni jukwaa huru. game is on

😂😂😂
 
Basi haya
 
haha haha ukitoa panama timu zote alizocheza nazo england zinaweza mkuu
Nitajie mwaka gani waliwekwa kundi gumu la kufuzu kwenye haya mashindano? Wao hua wanacheza na timu zilizojaa mafundi bomba, Uashi na umeme kufuzu kucheza kombe la dunia. Weupe sana ila wana kamdomo kama makoloni yao (Tanzania)
 
watu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup

Kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza na niliwaambia watu kadhaa kuwa uingereza mwaka huu wanatwaa taji la dunia na leo nimeamua kuweka uzi huu hapa jukwaani ili watu wote waone na wao kutoa maoni yao maana hili ni jukwaa huru. game is on

kizazi hiki ambacho kinaongozwa na striker bora wa ligi ya bundesliga ujerumani ndo kinaenda kuleta heshima mkuu
Leta timu yako ya ubingwa hapa ambayo wachezaji wake wanacheza ligi ya China au marekani!!!!
Punguza chuki halafu acha muda na mpira utaongea uwanjan
Mkuu,hawa jamaa kwenye ishu ya UBINGWA usijipe matumaini nao. Kuwakweza wachezaji wao kupita kawaida na kukosa wachezaji wenye ubunifu na unyumbulifu usiotabirika kirahisi huwa kunawagharimu. Si kwenye EURO si WC!.

Haya ni maoni yangu tangu nimeanza kuwashuhudia kipindi cha wakina Beckham,Owen,n.k
Hii timu mnaipenda kimazoea kwa sababu ina wachezaji wa vilabu vyenu pendwa lakini sio timu ya UBINGWA!

Kamanda young tunafish na nyie wapenda England mliorubuniwa na EPL, salute! 🫡
Yale tuliyosema mimi kijana wa ifoza na mkuu studentteacher yamejiri kwa asilimia 100% uwanjani. Mpira ni sayansi na siyo mihemko ya ushabiki wa dhati. Mlipumbazwa na majina ya makaratasi ya kina Harry Kane na Bellingham yakawaziba macho.

Kikubwa zaidi kilichotubainishia kuwa mmejaa mihemko na mtafungwa midomo, ni lile dongo la dharau mlilomrushia Lionel Messi kupitia pundits wenu wa England, mkadiriki hata kumlinganisha na Jude Bellingham! Ni kichaa pekee yake anayeweza kusema hivyo. Sisi wafuatiliaji wa mpira wa sayansi tulijua tu mmeishiwa hoja. Tunaongelea Argentina, timu ambayo ina mchezaji Alien ambaye hatokei kwenye hii sayari!
Hatua za mtoano dhidi ya wababe kama Argentina haziombi kelele za wachambuzi wa EPL, zinahitaji kemia na mbinu thabiti. Goli lenu la Anthony Gordon limeishia kuwa faraja ya dharura kabla ya sayansi ya mpira ya huyo huyo Alien (aliyetoa pasi zote mbili za mabao) na wenzake kuwazika dakika ya 92. Amri imetekelezwa, sayansi imeshinda mihemko na dharau zenu! Karibu tena kwenye kijiwe cha wachambuzi wa ukweli. 🤫💥👽
 
[/QUOT

🤣🤣🤣. Spain nao ole wao waanze kumlinganisha Messi na yule Mtoto wao,atawadhalilisha!. Ingawa itakuwa mechi nzuri sana,tena yenye ushindani wa kipekee!. England sio timu ya UBINGWA. Full stop!
 
Nitajie mwaka gani waliwekwa kundi gumu la kufuzu kwenye haya mashindano? Wao hua wanacheza na timu zilizojaa mafundi bomba, Uashi na umeme kufuzu kucheza kombe la dunia. Weupe sana ila wana kamdomo kama makoloni yao (Tanzania)
Wakwenu alipangwa na Uzbekistan, Congo na Colombia jasho likamtoka kudadek
 
England 🇬🇧 makelele tu na media uchwara zao ....... kusifia tu hakuna kitu !
 
Ligi ngumu hiyo , kucheza England sio swala la mchezo mchezo lazima uwe ngangari kweli
Sio lazima uwe ngangari. Kitachoweza kukufanya ucheze popote pale iwe uingereza, Spain la Liga, Germany na kwongine ni kuingia vizuri kwenye mfumo wa timu husika na si ligi.

Unataka kuniaminisha kuwa Maguire, konate, Laporte, masquera ni Bora kuliko Sergio Ramos, pepe, puyol, Hummel's n.k sababu tu hawa hawakucheza EPL?
 
Awaulize kina , Falcao, Di Maria, Jadon sancho, Fernando morientes na Alexandre pato.
Ukianza kuhesabu hivi basi utapotea, sababu wapo pia mastaa wengi walifanya vizuri EPL lakini wapoenda ligi zingine kama la Liga, Seria A walishindwa kufanya vizuri

Mfano wao ni Michael Owen, Thierry Henry, alex song, Thomas vermalen, Eden hazard, sadio mane, Philippe Coutinho n.k Hawa walikua wachezaji Bora sana Epl lakini walipohamia la Liga na kwongine walifanya vibaya
 
walikuwa strikers wazuri before ila walipokuja england mambo yao yalienda kombo.. ile ligi sio lele mama
Huo ni uongo, kufanya vizuri hakuhusiani na ligi Bali timu unayoenda unaingia vipi kwenye mfumo.

Thierry Henry, Hazard, Alex song, Sadio mane, Coutinho, Michael Owen, Michael Essien, Adebayor n.k Hawa walikua mastaa wakubwa sana EPL, walipohamia la Liga Mbona mambo Yao yalienda kombo?
 
Ukianza kuhesabu hivi basi utapotea, sababu wapo pia mastaa wengi walifanya vizuri EPL lakini wapoenda ligi zingine kama la Liga, Seria A walishindwa kufanya vizuri

Mfano wao ni Michael Owen, Thierry Henry, alex song, Thomas vermalen, Eden hazard, sadio mane, Philippe Coutinho n.k Hawa walikua wachezaji Bora sana Epl lakini walipohamia la Liga na kwongine walifanya vibaya
Injuries tu hao, hao hapo juu walipotea wakawa wanakosa namba kabisa
 
Back
Top Bottom