Recent content by fdhly

  1. fdhly

    Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

    nipenda hiii..ila sijajua pa kuanzia
  2. fdhly

    Asanteni Maafisa bandari, siku nyingine mkitengeneza sinema mkumbuke kubandua plate number

    mtoa post umechacha.mboo ilo gari limo nyumbani kwa mtu na sio bandarini?
  3. fdhly

    Kwa waliosoma shule za msingi Iringa mjini miaka 90

    nimesoma ubungo N.H..nilimaliza mwaka wa 1999..shule yetu ilikuwa vizuri kwa mchakamcha, fujo pia tulikuwa tunaziweza tambaza,makurumra mugabe walituogopa..nakumbuka wamasai walikuwa wanakamata sana wanafunzi watolo na wavuta bangi..wengi tulikuwa vijobu(wategeaji kuingia darasani) sana enzi...
  4. fdhly

    King'amuzi gani ni bora ukiacha DSTV

    azamtv mpango mzima..
  5. fdhly

    Ujenzi vyumba viwili na seblue

    Kwa kawaida ghalama za ujenzi hasa material ya kujengea zinatofautiana na mahali ulipo kama upo dar ujenzi wa tofali za cement ndo unatumika xna na ghalama zake zipo hivi kila chumba kimoja kinatumia tofali 350 hadi 400 kwa ukubwa wa futi 12/12 tofali moja ni shilingi 1,200x 400=480,000/-...
  6. fdhly

    Simulizi za kusisimua: Vijana wenye msimamo mkali mlimani enzi hizo

    aaaaah mlimani bhana..hivi mlikuwa mnalima au mnapanda.. maana hadithi tamu...!
  7. fdhly

    Kwanini duniani hakuna mwanamke mwenye kiualaza/upara?

    hiki kiualaza cha mengi mmmmmh[emoji115]
  8. fdhly

    Kwanini duniani hakuna mwanamke mwenye kiualaza/upara?

    kiualaza ni kipara kama kile cha tajili wetu Regnald mengi..[emoji16][emoji16]
  9. fdhly

    Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    jumong...naikumbuka xna hii tamthilia ikikuwa inarushwa ITV nilikuwa silali kabixa mpka nione nadhani walikuwa wanaonesha j4/j5 na alhmas..ta eso ..maro .jumong mwenyewe na ssuhinho daaaah dada alikuwa mzuri aiseee...nilimpendagaa
  10. fdhly

    Rais Magufuli afanya mazungumzo na Bilionea Dangote

    Unafiki?...'double standard' katika ubora wake ...Je mawaziri wake waliopishana kauli kwa kumponda Dangote atawatumbua? Mwingine alisema Dangote alikuwa anataka gesi ya bure [emoji481][emoji481][emoji85][emoji85] ::IKULU, DAR: Rais Magufuli leo afanya mazungumzo na Bilionea Dangote:: Rais wa...
  11. fdhly

    Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

    nakushauri kitafute kitabu kinaitwa " "NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE" ukisome kizuri sana..!
  12. fdhly

    Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

    FAHAMU ZAIDI.. 1. Brunei ukipenda iite 'Darusalaam' ama nyumba ya amani ni nchi ambayo raia wake hawalipi kodi yeyote (All citizens in Brunei, including expats, do not have to pay for taxes, for it is absolutely free.), Hata maisha ya wananchi wake ni mazuri na mshahara wa chini kabisa ni dola...
Back
Top Bottom