Kwanini duniani hakuna mwanamke mwenye kiualaza/upara?

Kwanini duniani hakuna mwanamke mwenye kiualaza/upara?

1481650593694.jpg
1481650613702.jpg
 
Nimeshawahi muona, anaishi mikocheni, sema muda wote yeye na zile kofia za nywele za bandia hawaachani, ila akiwa nyumbani hukiachia...tena zimebaki chache sana zile za juu ya masikio tu!
 
Nimeshawahi muona, anaishi mikocheni, sema muda wote yeye na zile kofia za nywele za bandia hawaachani, ila akiwa nyumbani hukiachia...tena zimebaki chache sana zile za juu ya masikio tu!
Du Fanya Mpango Nimuone
 
Mwanamke wa ualaza lazima afanane kama lubuva [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kama kuna wanawake wana ndevu kama siye wanaume inakuaje wasiwepo wanawake wenye viualaza?

Mbona wako wengi tu na wanavaa wigs....wale wenye ndevu si za kuzaliwa nazo ni za kujitakia kwa sababu ya kujichubua na zile ndevu ni madhara yake pamoja na kuota pum.bu ukeni au makalioni.
 
Back
Top Bottom