Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

How to increase financial IQ-Robert kiyosaki
Huyu jamaa anaeleza jinsi ya kuwa smart na kipato chako na kufanya mambo makubwa,hajalishi kipato na anashauri kama kweli una nia ya kuwa tajili just get smart on spending and Saving..anashauri njia mbali mbali za investments kwa walionacho na jinsi gan ya kulinda pato lako ikiwa utataka kufanya mambo makubwa na ukafanikiwa..really interesting.

Mwaka huu nimesoma iko tu..ubusy
 
nakushauri kitafute kitabu kinaitwa " "NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE" ukisome kizuri sana..!
 
Ujamaa......by Mwalimu Nyerere.... bado nasoma mpaka leo...japo mimi tabia zangu ni za kibepari
 
Someni Kitabu kinaitwa HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE, kipo online kimeandikwa na Dale Carnegie, utakifurahia sana. Kwa maoni yangu hiki ni kitabu cha karne. Kinahusu sayansi ya mahusiano yetu ya kila siku na watu wanaotuzunguka. Ukisoma mara moja hautaacha kukirudia tena na tena!
 
Vitabu vingi vya self help ni addictive na wasomaji wengi huwa na less actual results in real Life.

Nimesoma vingi but najiona nipo vile vile japo uelewa kiasi Fulani umeongezeka.

Ila umasikini wangu upo vile vile.



Labda ubadirishe mtazamo wako wa maisha, na jinsi unavyo yachukulia, mimi hive vital vimenisaidia sana, kuzidi hata mahubiri ya dini zote hehehe. Vimeniwezesha kusoma dini na kuelewa kile ninachosoma, vimenisaidia kunyamaza, vimesaidia kupunguza idadi kubwa ya marafiki, bila hata kugombana lakini vimenifundisha kuwa buz na yangu maisha na kutafakari yangu. Muda ambao nilikua napiga soga na marafiki, sasa nautumia kutunza bustani yangu ya mbogamboga, matunda...Vimenisaidia kusamehe hata bila kuombwa msamaha, yaani nina mengi sana ya kusema juu ya self help.
 
Mimi nasoma QURAN...Kitabu ambacho pengine (sina hakika sana) ndicho kitabu cha MUDA mrefu, kwa maana hakijabadirishwa maneno yake kwa zaidi ya miaka 1000 na ajabu yake bado kinaeleza mambo ya jana, leo na yatakayo fuata siku zijazo....So AMAZING....
 
Back
Top Bottom