Recent content by father

  1. father

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Mh zito, kauli ya Katibu mkuu kiongozi ni dharau kwa bunge, kwa kuwa suala hili lilianzia bungeni
  2. father

    JamiiForums Tanzania Pengo amtolea uvivu Kikwete

    Tunasubiri majibu kutoka Kurugenzi ya mawasiliano
  3. father

    JamiiForums Tanzania Museveni afanya kufuru-ateua mawaziri 76...........

    Mambo ya Africa yanaumiza sana kichwa. Kwa nini asiongeze idadi ya watendaji kama anataka kazi zifanyike. Mawaziri zaidi ya kuwa wasemaji au political figure wana kazi gani zingine
  4. father

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    Nchi yetu ni shamba la bibi. Tunahitaji mabadiliko makubwa kwenye sekta ya madini. Najiuliza kwa nini hatukujifunza kwa kuangalia mikataba ya madini kwenye nchi nyingine kama Ghana, South Africa nk. Au sisi ndo wa kwanza kuingia mikataba ya uchimbaji madini hapa duniani?
  5. father

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela ashinda tena,Takukuru Waumbuka !

    Haya yalikuwa ni majungu ya kisiasa tu. Mbona wabunge wengi tu walisikika wakitoa hizo rushwa wakati wa uchaguzi?
  6. father

    JamiiForums Tanzania Kweli kila mjanja ana mjanja wake!!

    Duu, kwa hiyo binti ilikula kwake
  7. father

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Wazazi CCM yalaani maandamano ya CHADEMA

    Kaazi kweli kweli Mbona hawajibu hoja hata moja? Waitishe basi mkutano wa hadhara ili watoe majibu kwa wananchi badala ya kuongea na vyombo vya habari
  8. father

    JamiiForums Tanzania Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Kama ni unataka kuoa binti wa ukoo wa mafisadi hiyo milion 6 ni vijisenti tu. Kwanza wanakushangaa kwa nini hukulipa palepale !
  9. father

    JamiiForums Tanzania Wadau: Dowans imechimbia kaburi CCM

    Labda wanaamini hiyo bil 94 wakiipata wanaweza kununua nguvu yote ya Umma, na kuusambaratisha upidhani kabla 2015
  10. father

    JamiiForums Tanzania Hii ndio inaitwa Kutongozana, nyingine miyeyusho

    Ha ha ha, Kwa hiyo inabidi jamaa asubirie maeneo ya kisimani au mtoni na kesho yake. Maana hakuna mawasiliano ya haraka na ya uhakika. Inabidi uwe unajua ratiba ya kuchota maji.
  11. father

    JamiiForums Tanzania Grand Theft: Vodacom, Airtel, Tigo, Zantel na Sasatel - Wanachochea ufisadi?

    Watanzania wengi mishahara yetu ni chini ya 300,000. hiyo laki 5 ni kubwa sana. Mtu wa hali ya chini anatumia wastani wa sh 1000 kwenye simu kwa siku. Hapo ataweka sh 500 kwenye line 2 tofauti kwa matumizi tofauti kama internet nk Matumizi haya ni ya kawaida kwa ajili ya ku beep, sms nk...
  12. father

    JamiiForums Tanzania Wadau: Dowans imechimbia kaburi CCM

    Inaonekana kuna watu wachache tu ndani ya CCM wanaoelewa faida za malipo kutoka Dowan, waliobaki wanaburuzwa tu ili kulinda itifaki ya chama
  13. father

    JamiiForums Tanzania Wadau: Dowans imechimbia kaburi CCM

    na wakijilipa wamekwisha !!!
  14. father

    JamiiForums Tanzania Hii ndio inaitwa Kutongozana, nyingine miyeyusho

    Huyo jamaa angemtua kwanza huo mzigo, hapo ilivyo atasindikiza hadi mwisho wa safari hakieleweki kitu
  15. father

    JamiiForums Tanzania Unataka kuoa??

    Natokea Iringa, nina watoto 4, kila mtoto ana mama yake,, upo tayari? niku PM?
Back
Top Bottom