Museveni afanya kufuru-ateua mawaziri 76...........

Museveni afanya kufuru-ateua mawaziri 76...........

mbona hao ni wachache unajua ana washauri wangapi?? mia na hamisini.
 
Tanzania tunao Mawaziri wangapi? na je ni sawa kuhalalisha ukubwa wa baraza la mawaziri sambaba na ukubwa wa nchi?
 
Haya ndiyo matatizo makubwa kwa viongozi wetu wa kiafrica, wananchi wanaishi maisha ya shida sana badala ya kusaidiwa wanaongezewa mzigo mkubwa na serikali.
Museveni atatoka kwa nguvu ya umma, nchi zote zinazoendeshwa kwa mfumo mbaya wa utawala hasa udikteta kama uganda mwisho wake nafika. Museveni ataondoka kwa aibu madarakani.
 
Mambo ya Africa yanaumiza sana kichwa. Kwa nini asiongeze idadi ya watendaji kama anataka kazi zifanyike. Mawaziri zaidi ya kuwa wasemaji au political figure wana kazi gani zingine
 
Wala hajaongeza sana mbona. Baraza lake lililopita lilikuwa na mawaziri 70. Lijalo litakuwa na mawaziri 76. Kwa hiyo ameongeza mawaziri 6 tuu. Cabinet ministers walikuwa 26. Sasa watakuwa 29. State ministers walikuwa 44. Sasa watakuwa 47. Kitu ambacho kimenishangaza baraza lake lake la zamani halikuwa na waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 
Wala hajaongeza sana mbona. Baraza lake lililopita lilikuwa na mawaziri 70. Lijalo litakuwa na mawaziri 76. Kwa hiyo ameongeza mawaziri 6 tuu. Cabinet ministers walikuwa 26. Sasa watakuwa 29. State ministers walikuwa 44. Sasa watakuwa 47. Kitu ambacho kimenishangaza baraza lake lake la zamani halikuwa na waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Heading ilinistua kidigo lakini kwa data ulizotoa kama ni za kweli kumbe si kitu cha kustua maana wenzetu waganda wameshazoea kuwa na idadi kubwa hivyo. Labda waganda wageanalyse performance ya baraza lililopita kisha waone kama wanatakiwa waongeze idadi au wapunguze idadi. Mungu ahepushie mbali viongozi wenye mawazo kama ya Museven kutokea Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni kama ndoto lakini ni kweli Rais Museveni wa Uganda ameliomba bunge na hatimaye limeridhia yeye kuteua mawaziri 76.Nilimsikia leo asubuhi akihojiwa na Idhaa ya BBC ambapo aliulizwa kama haoni ni ufisadi kuwa na baraza kubwa namna hiyo.Kwanza alimshangaa mwandishi aliyemuuliza swali na akamwambia mbona hashangai Marekani wizara moja ya mambo ya nje ina mawaziri wa nchi (kumi) 10? Akasema kama hilo linawezekana marekani kwanini lisiwezekane Uganda?
Nilisikitika sana baada ya majibu hayo na nikaililia Afrika.Mwishoni nikamuomba Mungu aepushilie mbali shirikisho la kisiasa Afrika Mashariki kama viongozi wenyewe ndio kama huyu.Ataibomoa Afrika Mashariki.Ni aheri tubaki na mama yetu Tanzania.......

Ni afadhali ya gharama za mawaziri 76 kuliko gharama za waleeeeeeeeeeeeeee wabunge wetu wale wa VITI MAALUM ambao idadi yao ni zaidi 100.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla hujaona kibanzi kwenye jicho la mwenzio!!
akili za Mu7 na JK ni sawa sawa tu hamna mwenye nafuu
 
Heading ilinistua kidigo lakini kwa data ulizotoa kama ni za kweli kumbe si kitu cha kustua maana wenzetu waganda wameshazoea kuwa na idadi kubwa hivyo. Labda waganda wageanalyse performance ya baraza lililopita kisha waone kama wanatakiwa waongeze idadi au wapunguze idadi. Mungu ahepushie mbali viongozi wenye mawazo kama ya Museven kutokea Tanzania.

Si ndio hapo mkuu. Watu wanalalamika bila hata kujua baraza lililopita lilikuwa na mawaziri wangapi. Mbona baraza lililopita watu hawakulalamika? Mbona juzi Kagame kaongeza mawaziri 8 (6 ministers and 2 state ministers) kwenye cabinet yake na hakuna aliyelalamika? Labda kwa vile Museveni is now on the spotlight ndio maana inakuwa rahisi kulalamika.
 
Africa hoyeee, hivi kwanini hili lisitokee kwetu maana mawaziri 70 labda hata mimi ningekuwamo kama sio mimi labda mjomba, au shangazi au binamu au rafiki. Jeykey iga mazuri ya Uganda kama hilo la mawaziri wengi...
 
Mwanzoni mwa kutenda dhambi, binadamu huwa anahofu ya mungu. Mara anapotenda dhambi mara nyingi, hofu ya mungu huondoka na kuanza kujenga hoja za kuitetea dhambi. Haya ndo yanayofanywa na huyu Mkulu wa Banganda. Kazi kweli kweli. Suala siyo Marekani wanabaraza kiasi gani, swala ni kwa nini unabaraza kubwa? Lina faindisha nchi yako?. Viongozi wengi wanaona Marekani ndo role mode yao wakati Marekani wapa dunia nyingine kabisa. Maendeleo ya Afrika yataletwa pale tutakapojijua sisi ni akina nani, tuna nini, tunahitaji nini na kwa kiasi gani.


Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
 
Kampala

Parliament yesterday rejected former Kampala Mayor Ntege Sebaggala's appointment as a Minister without Portfolio on moral grounds and opened parallel investigations into the academic qualifications of two other appointees.


The fate of Bunyoro Affairs Minister Saleh Kamba and Investment Minister Mbabali Muyanja remains in balance after the Appointments Committee rejected the duo's academic credentials.



Kamba, Muyanja's woes

According to sources on the committee, Mr Muyanja's fate is expected to be decided today while Mr Kamba's academic papers are still being investigated by lawyers. "We are not blocking these people in bad faith, it's just that they have glaring problems with the academic qualifications and that's the problem," a source said.

"We are going to study the two cases (Mbabali and Kamba's) and a decision will be taken. We don't want to put people in government without the necessary qualifications," he added.


Other sources told Daily Monitor last evening that the committee agreed to summon the Ministry of Education permanent secretary to explain Mr Mbabali's academic qualifications.

For Mr Kamba, his troubles started when the committee showed him a petition from outside of Parliament questioning his academic papers, a claim he protested.


Seya's ‘morals'

Sources who attended the meeting which ended after 9pm last night, told Daily Monitor that Mr Sebaggala, who was the first person to appear, was rejected on moral grounds yet others reportedly questioned his ability to express himself fluently in English, the official language in the country.


And after he left the committee, MPs who were overheard laughing, also took another hour to discuss his appointment before they took a unanimous decision to throw him out of Cabinet.


Earlier, speaking to journalists outside the committee room, Mr Sebaggala expressed optimism that he would make it, saying: "There is nothing to worry about, my party (NRM) has the majority members on the committee."

But according to sources on the committee all the NRM members rejected him before a decision was taken to write to the President to appoint another person as Minister without Portfolio.


In 1998, Mr Sebaggala was arrested in Boston, Massachusetts, USA and was charged with eight counts, six of fraud and two of making false declarations to the US Customs. He served 11 months of his sentence in jail after he was found guilty.

After his appearance yesterday, he denied that he doesn't travel to some countries "I have a house and children in the US and I have always travelled whenever I want," he said.
 
Sio Kama Bunge Letu Lahisi Akiteu Watu wana Pitisha Tu Mwingine kakataliwa kutokana na Advance Age

Thursday
June 2, 2011

latest001px.jpg
Mr. Kategeya.

By Sheila Naturinda & Isaac Imaka


Posted Tuesday, May 31 2011 (Developing Story)

The Parliament appointments committee, currently scrutinizing and vetting President Museveni’s weekend ministerial appointments seems uncomfortable with the age bracket of all Deputy Prime Ministers.

It is however not clear if age is one of the yardsticks the committee is looking for during their vetting exercise.

The first Deputy Premier, Eriya Kategaya told media waiting for him outside of the committee room that Leader of Opposition Nandala Mafabi has questioned his age. “But I told him (Mafabi) that he is enjoying the benefits of our labour,” Mr Kategaya said, referring to the bush war he and others including President Museveni took part in. Born in 1945, Kategaya will turn 66 on July 4.

The second Deputy Premier, also Minister for Public Service Henry Muganwa Kajura said he had enough stamina to work, no matter his age. “They raised the issue of stamina because of my age but I can assure you that I have enough stamina to serve,” he said.

Mr Kajura will celebrate his 77th birthday on July 7.

And the story was the same for the third Deputy Premier Gen Moses Ali. “They said am old but I said I thank God for my age.” Gen Ali is currently 72 years.

The committee will today vet all the 29 cabinet ministers and a few ministers of state. The committee is chaired by Speaker Rebecca Kadaga, and her deputy Jacob Oulanyah is also a member.

Still waiting to be vetted between 12-1 pm are Minister of Education &Sports – Jessica Arupo, Minister of Energy & Minerals – Irene Muloni, Minister of Finance & Economic Planning – Maria Kiwanuka, Minister of Information & National Guidance –Mary Karooro Okurut. From 1-2pm will be Minister of Justice & Constitutional Affairs- Major General Kahinda Otafiire, Minister of Gender & Social Affairs – Syda Bbumba, Minister of Trade & Industry –Amelia Kyambadde, Minister of Water & Environment –Maria Mutagamba and Attorney General –Peter Nyombi.
http://www.monitor.co.ug/News/National/-/688334/1172346/-/c0wxypz/-/index.html
 
Minister without Portfolio. I don't get this.
 
New Vision

THE parliamentary appointments committee has rejected three ministerial nominees.

The committee also asked Henry Muganwa Kajura, a long-serving minister, to shed off other tasks and remain Second Deputy Prime Minister.

Besides the former Kampala mayor and nominee for minister without portfolio Nasser Ntege Sebaggala, others rejected in the vetting exercise were nominee for Bunyoro affairs state minister Saleh Kamba and investment minister Muyanja Mbabali.

The exercise ended yesterday after three days instead of the estimated two.

The Second Deputy Prime Minister and Minister of Public Service, Henry Mugwanwa Kajura, whose age and longevity of service became a matter of concern to the committee, was asked to surrender the public service ministry and remain Second Deputy Prime Minister after all it was more prestigious, sources said.

“We advised Kajura to retain the more venerable position of Second Deputy Prime minister. He has no more energy to be public service minister. We need someone more robust,” sources added.

According to sources, Kamba and Mbabali’s nomination hang in balance because their academic papers were cast in doubt.

“Changes in the names on the different academic documents submitted made us doubt whether they were genuine. We have commissioned investigations into the authenticity of the documents, but this already dents their eligibility,” said a source.

About the fate of Sebaggala, they said his criminal record after being convicted in 2001 of two counts of making false statements to the US customs and four counts of bank fraud and dealing in altered securities was his undoing, beside his “dubious” academic papers.

“We are not blocking these people in bad faith. They have glaring problems with their academic qualifications. We don’t want to put people in government without the necessary qualifications,” he added.

Several nominees had press interviews after the vetting session, promising commitment to develop Uganda.
Asuman Kiyingi (Regional affairs) said: “We must build blocks. The survival of Africa requires integration.”

Rose Namayanja (Luwero) said the questions were “gentle and ones that I could handle.” She promised to use the knowledge she had acquired in Parliament to take her new posting to another level.
 
Kwenye katiba mpya lazima Bunge la Tz liwapitishe mawaziri. Wenzetu wamekataa upupu na vihiyo wa M7.
 
Back
Top Bottom