Jumuiya ya Wazazi CCM yalaani maandamano ya CHADEMA

Watakuwa wameambiwa waandamane ili kuongeza nguvu against CHADEMA
Aliongea JK,Wassira,Tendwa,Chiligati haikutosha
kwa maoni yangu bado hawawezi kubadili mawazo ya wananchi/wapiganaji
ni sawa na kucheza ngoma wasioielewa
 
Hivi hii jumuiya ya wazazi ya CCM inawakilisha wazazi wangapi hapa nchini? Nijuavyo mimi hiki ni mojawapo wa taasisi zilizoundwa wakati wa ukiritimba wa chama kimoja na sasa zinaendelea kuwepo kupitia mgongo wa raslimali iliyochangiwa na wananchi wote bila kujali itikadi yao.

Genge fulani tu
 
Hivi hii jumuia uwa bado ipo?

Tiba

Naona kila mtu sasa atatoa tamko, waifute chadema Amani ya Tanzania itabaki kwenye historia kwa miaka ile ilikuwa ya amani Ila toka utawala wa jk ndo ilikuwa mwisho wa Amani.
 
Maji shingoni! tutaona sarakasi nyingi tu za CCM mwaka huu katika harakati zake za kukabiliana na chama cha msimu! By the way, hivi bado Sumaye hajajibiwa na watu wa CCM (Chiligati etc) kwamba anatfuta kuwa mgombea wa urais wa CDM mwaka 2015?
 
Hivi kuna amani kwenye maisha magumu? Hii amani itakuwa na thamani pale tu penye fair life for all, vinginevyo ni facade na tusidanganyane kwamba ni amani.
 
Wazazi wa nani hao?Hivi ukiwa na mzazi anazungumza ugoko mtupu, utamhesabu kuwa huyo ni mzazi?Hao wazazi uchwara ni wehu vya kutosha shame upon them,Fool parents.
 
Kaazi kweli kweli

Mbona hawajibu hoja hata moja? Waitishe basi mkutano wa hadhara ili watoe majibu kwa wananchi badala ya kuongea na vyombo vya habari
 
Inaelekea chapombe huyu Hajui hata Chadema Katika maandamano yanahusu nini yeye anaropoka tu, Chadema wanahubiri Mauaji na kumdharilisha kiongozi wao Juma kilaza (j.k) aliyewafundisha kuongopa mnaongopa bila aibu jibuni hoja kwa nini mmeleta maisha ya taabu wakati kila kitu kipo ati analaani kweli kweli lol hajui alaaniye nae hulaaniwa unatoa laana wakati wewe ni mchafu lazima yakurudie mwenyewe. subirini ziara ziishe si hamtaki kuleta maisha bora kama mmeshindwa pisheni wengine sio kupoteza miaka bure au mnataka nchi ibakie kama fuvu ndio mpishe wahenga wanasema chukua tahadhari mapema Peoples power dont give up cmd tupo pamoja
 
Back
Top Bottom