Hii ndio inaitwa Kutongozana, nyingine miyeyusho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio inaitwa Kutongozana, nyingine miyeyusho

Discussion in 'Jamii Photos' started by EMT, Jan 25, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wakuu mnakumbuka enzi hizo? Hii ndio ilikuwa inaitwa kutongozana. Nyingine zote miyeyusho.

  View attachment 21314
   
 2. father

  father Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa angemtua kwanza huo mzigo, hapo ilivyo atasindikiza hadi mwisho wa safari hakieleweki kitu
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kulikuwa hakuna kumtua mtu mzigo. Pia tofauti na sasa kilikuwa halieleweki the same day. kwani demu anatua maji mara moja tuu?
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo demu anatoa majibu ya mkato,baada ya wiki akiona huchoki anattua mzigo na kukusikiliza.
   
 5. father

  father Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ha ha ha, Kwa hiyo inabidi jamaa asubirie maeneo ya kisimani au mtoni na kesho yake. Maana hakuna mawasiliano ya haraka na ya uhakika. Inabidi uwe unajua ratiba ya kuchota maji.
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Siku hizo time table lazima uwe nazo. Demu mwenyewe anakupa timetable. Siku hizo kama demu yuko home kweli yuko home. Kama ataelekea muda fulani atakuambia. Siku hizi unampigia demu anakwamnia yupo shopping mlimani city kumbe yuko tandale sokoni.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Recipe for teenage pregnancies & HIV
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  tumetoka mbali aiseee
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kweli.
   
 10. m

  mob JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 509
  Trophy Points: 280
  mimi nilifanyaga siku moja kidogo nimwagiwe maji.
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haaa haaaa kakosea kuonyesha unajali inabidi kubeba ndoo!!!!
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pole sana mkuu ndiyo tulipotoka, maana zamani bila demu kukata kajani na kula mdomoni ujue ndiyo kakubali vinginevyo hakieleweki! Na bila kutumia nguvu kidogo hakieleweki tofauti na saizi mtu ukienda guest tu ndiyo siku ya kwanza demu anachojoa huku anaangalia kabox kako kama ni normal au abnormal!
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah,cku hzo nikitaka kumtoa bint kwao narusha mawe juu ya bati,anajua kuwa namsubiri,TEKNOHAMA imeraisisha mawasilianog
   
 14. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  mpaka leo kijijini kwetu hii kitu inaApply
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mkuu thanxx sana tu hapo ujuzi ulikuwa mkubwa saana tu sio siku hizi mnapeana namba za simu mchezo umekwisha. enzi hizi una zoza mpaka kinaeleweka
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Siku hizi watu hawatongazani tena. Wanachukuana
   
 17. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mimi nilikuwa naamka saa 10 alfajiri kufukuzia.. Kwani maji yalikuwa yanatoka kuanzia saa 10 mpaka 12 mara 3 kwa wiki...
   
 18. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  simu kuwadi namba moja..
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Gesti machakani!
   
 20. Bwaksi

  Bwaksi Senior Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwi kwi, kwe kwe!!!! Mob umenikumbusha mbali. Mimi nilishawahi pigwa rungu miguuni na kaka wa demu mmoja hadi nikateguka mguu. Jamaa kwa mkwara mzito akaniambia "hiyo miguu ndio inakufanya umfuate fuate ........(akataja jina la dada yake)"
   
Loading...