Recent content by faster

  1. faster

    JamiiForums Tanzania TZ Youtubers: kwa viewers laki 1 unapata dola ngapi?

    Mia mia
  2. faster

    JamiiForums Tanzania CAG aongea na Wanahabari. Serikali Kuu kulikuwa na mapendekezo 91, mawili tu ndiyo yametekelezwa, neno "dhaifu" kuendelea kutumika

    Hehehehe em watapishe mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. faster

    JamiiForums Tanzania Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

    Hii ndio nchi yetu hakuna kukimbia ni kupambana tuu wasipewe madaraka watu wasiotufaa .... mambo inabidi yatengenezwe mapema chini kwa chini mtu aje shtukia hana chake Sent using Jamii Forums mobile app
  4. faster

    JamiiForums Tanzania Kwa siasa hizi stligers Goerge itakufa kabla haijaanza, hatuna uhakika wa maji tuache sifa

    Ivi kwann isitumike solar?? Gas ilishauzwa na wapigaji na ww ukitaka kula tafuta mradi wako .....lakini usituharibie mazingira ya vizazi vijavyo...... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. faster

    JamiiForums Tanzania Uliza software yeyote hapa

    Uzi mzuri ila watu hata kumtia nguvu mtu wanashindwa ....we umepewa software bureee ata buku 5 tuu basi buku mbili ya vocha bado mnajikausha...... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. faster

    JamiiForums Tanzania Naomba msada wa mpesa-mastercard

    Hii ni taka taka tangu jana najaribu kuweka pesa inazingua ukiwapigia hakuna kitu wanajibu. Wakipata competetion watajielewa
  7. faster

    JamiiForums Tanzania Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

    Hivi na dagaa ni nyama? Au samaki aruhusiwi pia?
  8. faster

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Jumla matumizi yako ni watts 129 kwa (economic view huu utakua mtambo wa watts 200 ).... hapa utahitaji battery atleast ya N150 panel watts 100×2 controlla 20A(unaweza pata ata 10A sio mbaya na invetor watts 500......usiku hutowasha tv full time mpaka saa 4 then unaacha taa zenyewe zitapiga...
  9. faster

    JamiiForums Tanzania Jamii: Tupia Screenshot yoyote uliyoipenda

    Wenye Chama
  10. faster

    JamiiForums Tanzania Makundi ndani ya CCM yana historia pana

    Nakuona umetoa angalizo mkuu[emoji38][emoji38]
  11. faster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wake za watu ni watamu zaidi?

    Unachokitafuta utakipata mkuu.... naomba ukikipata usisahau pia kufungua uzi nakutujulisha kilichojiri .......... leo Mo anaweka mbili
  12. faster

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    Maisha yenyewe mafupi .... Afrika tunapigwa vita kila mahali ..... na haya mabiological weapon bado utoe ng'ombe 520 kwa huyu??? Hapana [emoji23][emoji23][emoji23]
  13. faster

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar mna matatizo gani ,mbona kila ujinga ni nyie tu

    [emoji23][emoji23][emoji23] em muache mzee Mushi wa watu
  14. faster

    JamiiForums Tanzania Avatar yako na Id yako ina maana gani?

    Habari yamapili wana jf Nimekua nikikuna kichwa sana kutaka kujua ni mtu alifikiria nini kujiita jina fulani kama Id yake ama kuweka avatar fulani. Tukianza na mm avatar ni picha ya jamaa wa kuitwa Bumpy Johnson uyu alikua mob boss uko harlem Id sikufikiri sana .....
  15. faster

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa analofanya IGP Sirro na litamgharimu...

    Yaani uambiwe kuwa umesema uongo na ni ukweli umesema uongo alafu umpige ...... ndio ule ubabe wa kishamba .....sema ukweli uone kama ungepata maneno ya kejeli
Back
Top Bottom