TZ Youtubers: kwa viewers laki 1 unapata dola ngapi?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Habari zenu wakuu

Ningependa mnijuze wale mnaofanya YouTube monetization kwa AdSense, je kwa wastani unapata dola ngap kwa watu laki 1?
 
Pia watuambie na viwaz(viewers) laki tatu unusu (350k) wanalipa dolali ngapi?
 
Kwana kuna view za aina mbili ntaeleza hapa chini na pili malipo hutokana na mambo mawili la kwanza likiwa ni impression la pili likiwa na clicks. Kwa matangazo yanayohitaji kutake action kwa kuclick basi utalipwa kwa click. Haya huwa ni machache sana. Matangazo mengi unalipwa kwa impression.

1. Kuna view zile unazoona zipo chini ya video. Hizo huonesha kuwa video imeangaliwa mara ngapi.

2. Kuna views za adsense. Hizi huonesha matangazo/tangazo limeangaliwa mara ngapi.

1 na 2 mara nyingi haiwi sawa mana kuna watakaoplay video bila kuona tangazo. Hii hutokea kwa kuwa kuna ambao wanablock matangazo, kuna ambao google wameona hakuna mantiki ya kuwawekea matangazo.

Ili kuongeza kiwango cha 2 kikalibiane na 1 unatakiwa kuangalia content ya video yako.

Pia kuna suala la kuangalia tangazo bila kuskip na kuskip. Mtu akiclick skip ad inapunguza impression.

Kwa ufupi ni kwamba sio rahisi kukupa jibu bila kumake several assumptions. Assumptions juu ya video yako inahusu nini, matangazo ya category gani yanaonekana zaidi. Wangapi wanaangalia matangazo mpaka mwisho wa tangazo. Viewers wako wengi wapo nchi gani mana impression ya us sio sawa na ya bongo.

Nakushauri upite google ujaribu kuangalia videos za topic gani zinalipa zaidi na utarget International audience mana CPM za bongo ni kizungumkuti.
 
Maelezo Marefu lkn hayaeleweki mkuu
 
Wewe ndio mbongo haswaa umeulizwa njia uanelezea bypass ilivyo.
 
Cha msingi ni kuwa huwezi pata jibu la dola unazoweza zipata kwa kuangalia views za videos kule youtube mana dola hutegemeana na mqmbo mengi sio views tu pekee.

Mbaya zaidi views zilizopo kule youtube sio hizo zinazotumiwa na adsense kutoa estimate ya revenue. Views zinazotumika na adsense ni zile tu ambazo ziliambatana na matangazo. Viewers ambao hawakuona matangazo hawaingii ktk kukokotoa malipo.

Ila kwa makadirio tu acha niweke ukokotoo rahisi hapa:

Assume CPM of $0.45
CPM ni Cost Per Mille. Mille ni elfu ikiwa na maana kuwa utalipwa $0.45 kwa impressions 1,000

Assume views zote zina matangazo hivyo views 100,000 inaweza kuwa sawa na 500,000 impressions.

1,000 impressions = $0.45
500,000 impressions = $225

Shida ni kupata hiyo CPM ya $0.45 mana videos nyingi za kibongo topic zake hazina CPM kubwa. Mbaya zaidi views za bongo cpm zake ndogo zaidi ya views za nje.

Labda hii kidogo itaeleweka japo hizo assumptions ni too optimistic ila ni attainable.

Wengine wataongezea ama kufafanua kwa lugha nyepesi zaidi.
 
Mia mia
Kwana kuna view za aina mbili ntaeleza hapa chini na pili malipo hutokana na mambo mawili la kwanza likiwa ni impression la pili likiwa na clicks. Kwa matangazo yanayohitaji kutake action kwa kuclick basi utalipwa kwa click. Haya huwa ni machache sana. Matangazo mengi unalipwa kwa impression.

1. Kuna view zile unazoona zipo chini ya video. Hizo huonesha kuwa video imeangaliwa mara ngapi.

2. Kuna views za adsense. Hizi huonesha matangazo/tangazo limeangaliwa mara ngapi.

1 na 2 mara nyingi haiwi sawa mana kuna watakaoplay video bila kuona tangazo. Hii hutokea kwa kuwa kuna ambao wanablock matangazo, kuna ambao google wameona hakuna mantiki ya kuwawekea matangazo.

Ili kuongeza kiwango cha 2 kikalibiane na 1 unatakiwa kuangalia content ya video yako.

Pia kuna suala la kuangalia tangazo bila kuskip na kuskip. Mtu akiclick skip ad inapunguza impression.

Kwa ufupi ni kwamba sio rahisi kukupa jibu bila kumake several assumptions. Assumptions juu ya video yako inahusu nini, matangazo ya category gani yanaonekana zaidi. Wangapi wanaangalia matangazo mpaka mwisho wa tangazo. Viewers wako wengi wapo nchi gani mana impression ya us sio sawa na ya bongo.

Nakushauri upite google ujaribu kuangalia videos za topic gani zinalipa zaidi na utarget International audience mana CPM za bongo ni kizungumkuti.
 
Viewers 100k?

Let’s do the maths

Kwanza kuna aina mbili za matangazo.

1 • matangazo yanayohitaji uangalie kwa sekunde 5. Hii bila shaka yeyote anayeangalia youtube ameshakutana na matangazo ya namna hii.

Hapo maana yake ukiangalia tangazo kwa sekunde 5 basi mwenye YouTube channel husika atalipwa pesa 💰 kidogo.

2 • Matangazo yanayolipa kwa idadi ya “clicks”

Hii maana yake viewer atatakiwa abonyeze tangazo husika ili mmiliki wa channel alipwe.

Hii aina ya matangazo sasa hivi haifanyi vizuri sana kwahiyo nitaongelea number moja.

Ok

Nilisema hapo juu kila tangazo linalopita katika video yako likionwa utalipwa pesa kidogo.

Je, hii pesa kidogo ni kiasi gani?

Well, kwanza inategemea na nchi viewer alipo. Iwapo viewer anatokea Ulaya na Marekani basi wastani ni $1 kwa viewers 1000 watakaoona tangazo kwa sekunde zote 5.

Pili inategemea na aina ya content unazoweka katika channel yako.

Niseme tu watu wanaoweka content za burudani kama vile muziki, mpira, fashion na mambo yanayofanana na hayo wanalipwa pesa kidogo zaidi.

You tubers wanaoendesha channel zinazohusu maswala ya fedha, uhandisi, afya, hawa wanalipwa zaidi.

Sababu hapo ni kwamba Youtube wanapendelea zaidi kuwa-favor you tubers wanaoweka Content zenye value zaidi.

Sasa basi....

Tukirudi kwenye swali lako la msingi la viewers 100k itakuwa kama ifuatavyo.

1000 viewers = $1

100000 viewers = ?

Jibu = $100

Makadirio ni $ 100 💰ndiyo utalipwa.

Mwisho niseme tu njia yakutegemea matangazo Kutengeneza pesa YouTube ni yakizamani.

Watu wanaotengeneza $10k - $50k kwa mwezi YouTube watumia strategy tofauti.

Do you know how?

Let me know if you are interested to learn more.
 
Kwana kuna view za aina mbili ntaeleza hapa chini na pili malipo hutokana na mambo mawili la kwanza likiwa ni impression la pili likiwa na clicks. Kwa matangazo yanayohitaji kutake action kwa kuclick basi utalipwa kwa click. Haya huwa ni machache sana. Matangazo mengi unalipwa kwa impression.

1. Kuna view zile unazoona zipo chini ya video. Hizo huonesha kuwa video imeangaliwa mara ngapi.

2. Kuna views za adsense. Hizi huonesha matangazo/tangazo limeangaliwa mara ngapi.

1 na 2 mara nyingi haiwi sawa mana kuna watakaoplay video bila kuona tangazo. Hii hutokea kwa kuwa kuna ambao wanablock matangazo, kuna ambao google wameona hakuna mantiki ya kuwawekea matangazo.

Ili kuongeza kiwango cha 2 kikalibiane na 1 unatakiwa kuangalia content ya video yako.

Pia kuna suala la kuangalia tangazo bila kuskip na kuskip. Mtu akiclick skip ad inapunguza impression.

Kwa ufupi ni kwamba sio rahisi kukupa jibu bila kumake several assumptions. Assumptions juu ya video yako inahusu nini, matangazo ya category gani yanaonekana zaidi. Wangapi wanaangalia matangazo mpaka mwisho wa tangazo. Viewers wako wengi wapo nchi gani mana impression ya us sio sawa na ya bongo.

Nakushauri upite google ujaribu kuangalia videos za topic gani zinalipa zaidi na utarget International audience mana CPM za bongo ni kizungumkuti.
Ufafanuzi mzuri lakini alichotaka ni uwiano wa kufahamu viewers laki moja anaweza ingiza dollar ngapi kwa mwezi (average).
 
Unacholipwa hakitegemeani na idadi ya Views! Wewe unaweza kuwa na Views 1M nami nikawa na Views 100K lakini mimi nikapata mpunga mrefu kuliko wewe!
Funguka zaidi, Ila naomba tujikite zaidi na wastani wa chini ambao unategemewa kwa views laki
Wastani ni kuanzia dollar 0 mpka dollar 1000. Maelezo rejea ya Mkuu hapo juu.
Sidhani kama makadirio yako yapo sawa labda uwe na ushahidi, Views laki 1 unapataje dola sifuri????
Assume views zote zina matangazo hivyo views 100,000 inaweza kuwa sawa na 500,000 impressions.
Umenichanganya kidogo hapo kwenye views laki alafu impressions laki 5, naomba uingie kwa kina kidogo
Makadirio ni $ 100 💰ndiyo utalipwa.
Mwisho niseme tu njia yakutegemea matangazo Kutengeneza pesa YouTube ni yakizamani.
Watu wanaotengeneza $10k - $50k kwa mwezi YouTube watumia strategy tofauti.
Do you know how? Let me know if you are interested to learn more.
Kibongo bongo je tutegemee ngapi, Yes we are intersted
Ufafanuzi mzuri lakini alichotaka ni uwiano wa kufahamu viewers laki moja anaweza ingiza dollar ngapi kwa mwezi (average).
HASWAA!! NA PICHA ZA SCREENSHOT ZITASAIDIA 🙂 🙂
 
Umenichanganya kidogo hapo kwenye views laki alafu impressions laki 5, naomba uingie kwa kina kidogo

1. Youtube video views = video imeangaliwa mara ngapi. Aliengalia video yote huhesabika view moja, alieangalia nusu yake huhesabika view moja pia. Ila alieclick play afu kabla ya sekunde 11 akaclose youtube haihesabiki kama view.

2. Youtube video ads views = hapa wanachukuliwa hao hapo juu wapo wangapi. Lets say 100k. Afu inaangaliwa kati ya hao wote wangapi wameona japo tangazo moja. Lets say wote wameona matangazo. Kwaiyo youtube ads views nazo = 100k.

3. Video ads impressions = hapa zinachukuliwa views za hapo namba mbili zinazidishwa na ads spots. Mfano kuna ataeangalia video ad past skip the ad. Kuna atakaeona ads 3. Kuna kitu google wanakiita ads spots na kwa advertisers ndio wanakielewa zaidi. Kwa experience inaonekana kama vile kila sekunde 11 zinahesabika kuwa ni ads spot moja. Sasa unakuta unaangalia video kitangazo kimewekwa kwa chini ya video mwanzo hadi mwisho. Hapo impressions lazima zitakuwa zaidi ya 5. Ndipo nika assume ads view moja sawa na ads impressions 5.
 
Bos CPM n nn?
CPM = Gharama anayotuzwa mwenye tangazo kwa kila tangazo lake linapoonekana mara elfu moja. Mfano matangazo ya real estate kama anaetangaza ana target soko la US anaweza ambiwa alipe CPM ya $54.

Kwa publisher/creator kiasi cha 55% ya hiyo CPM hapo juu ndio atakachopata baada ya google kukata 45%. Kwaiyo CPM kwa upande wa publisher inakuwa ni 55% x CPM ya advertizer.
 
Back
Top Bottom